kunalkunal951
Member
- Sep 17, 2016
- 89
- 12
Samahani naombeni msaada wenu Mimi natatizo la kupumua kwa sauti yani mpaka aliyekaa karibu yangu anaona kero tatizo nini hasa na tiba yake ni yepi ahsantenii............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kapime hospitali unaweza kuwa unayo maradhi ya pumu ukitumia dawa hujapona nione mimi nipate kukutibia upate kupona.Samahani naombeni msaada wenu Mimi natatizo la kupumua kwa sauti yani mpaka aliyekaa karibu yangu anaona kero tatizo nini hasa na tiba yake ni yepi ahsantenii............