B Bongo5 Member Joined May 15, 2010 Posts 14 Reaction score 1 May 15, 2010 #1 Habari zenu wana-Jamii. Tunafuraha sana kujiunga katika forum hii na tunategemea mengi mazuri yatajitokeza. Pamoja sana! Kikosi cha Bongo5.com
Habari zenu wana-Jamii. Tunafuraha sana kujiunga katika forum hii na tunategemea mengi mazuri yatajitokeza. Pamoja sana! Kikosi cha Bongo5.com
T Tall JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 1,425 Reaction score 168 May 15, 2010 #2 bongo5 said: habari zenu wana-jamii. Tunafuraha sana kujiunga katika forum hii na tunategemea mengi mazuri yatajitokeza. Pamoja sana! Kikosi cha bongo5.com Click to expand... ndo nyie niliwasikia redioni?
bongo5 said: habari zenu wana-jamii. Tunafuraha sana kujiunga katika forum hii na tunategemea mengi mazuri yatajitokeza. Pamoja sana! Kikosi cha bongo5.com Click to expand... ndo nyie niliwasikia redioni?
B Bongo5 Member Joined May 15, 2010 Posts 14 Reaction score 1 May 15, 2010 Thread starter #3 Ndio sisi, tovuti yetu ina-stream clouds fm live..unaweza kusikiliza kubya hapa http://bit.ly/aFxS2u
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 May 15, 2010 #4 Mbona wamesema kwamba TIVOti yenu ina VIRUS?? utaweza kunilipa computer yangu ikiaribika??au mmeisharekebisha????
Mbona wamesema kwamba TIVOti yenu ina VIRUS?? utaweza kunilipa computer yangu ikiaribika??au mmeisharekebisha????
B Bongo5 Member Joined May 15, 2010 Posts 14 Reaction score 1 May 15, 2010 Thread starter #5 Tuna uhakika 100%, tumehama na kuongeza uwezo wa server pamoja na kubadilisha na kuboresha mfumo mzima wa tovuti.
Tuna uhakika 100%, tumehama na kuongeza uwezo wa server pamoja na kubadilisha na kuboresha mfumo mzima wa tovuti.
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 May 15, 2010 #6 Tupe evidence kama hakuna virus otherwise hatuji unatupotezea muda bongo5
B Bongo5 Member Joined May 15, 2010 Posts 14 Reaction score 1 May 15, 2010 Thread starter #7 Unataka evidence gani nikupe sasa hivi?
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 May 15, 2010 #8 Karibu jf mengine yanafuata
B Bongo5 Member Joined May 15, 2010 Posts 14 Reaction score 1 May 15, 2010 Thread starter #9 Asante sana mkuu
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 May 15, 2010 #10 Bongo5 said: Ndio sisi, tovuti yetu ina-stream clouds fm live..unaweza kusikiliza kubya hapa Clouds FM Click to expand... Ahsante kwa link.
Bongo5 said: Ndio sisi, tovuti yetu ina-stream clouds fm live..unaweza kusikiliza kubya hapa Clouds FM Click to expand... Ahsante kwa link.
Noname JF-Expert Member Joined Feb 8, 2010 Posts 1,269 Reaction score 29 May 16, 2010 #11 welcome aboard
B Bongo5 Member Joined May 15, 2010 Posts 14 Reaction score 1 May 16, 2010 Thread starter #12 Thank you