Habari zenu

Habari zenu

Bongo5

Member
Joined
May 15, 2010
Posts
14
Reaction score
1
Habari zenu wana-Jamii. Tunafuraha sana kujiunga katika forum hii na tunategemea mengi mazuri yatajitokeza. Pamoja sana!

Kikosi cha Bongo5.com
 
habari zenu wana-jamii. Tunafuraha sana kujiunga katika forum hii na tunategemea mengi mazuri yatajitokeza. Pamoja sana!

Kikosi cha bongo5.com
ndo nyie niliwasikia redioni?
 
Mbona wamesema kwamba TIVOti yenu ina VIRUS?? utaweza kunilipa computer yangu ikiaribika??au mmeisharekebisha????
 
Tuna uhakika 100%, tumehama na kuongeza uwezo wa server pamoja na kubadilisha na kuboresha mfumo mzima wa tovuti.
 
Back
Top Bottom