Habari zenyu wana JF

Habari zenyu wana JF

mmmhhhh babu banah mbona mi umeniacha in a dillema state nielewesha basi kisirisiri wengine wasijue maanake kweli nisije tu nikawa nakaribisha tu hata sijui maana yake,eti babu jr ndo nini kweli.
Na wewe ni mwana JR?
 
ahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaa_mambo mwana JR...!

mmmhhhh babu banah mbona mi umeniacha in a dillema state nielewesha basi kisirisiri wengine wasijue maanake kweli nisije tu nikawa nakaribisha tu hata sijui maana yake,eti babu jr ndo nini kweli.
Hahahahaa...........

Muniwache Nipumuweeee

attachment.php
 
JR ndio kitu gan mkuu? Pia na hilo neno Zenyu ndio watu gan hao mkuu?

Karibu JR
 
mkuuu karibu sana. irespect ur swagger man!
 
Back
Top Bottom