Habari Zenyu wote.

Habari Zenyu wote.

kasiko

Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
38
Reaction score
4
Hello! Ma bibi na ma bwana. Hamjambo wote? Mimi ninaitwa "kasiko" jina hili ni la kilima kimoja kikorofi kama ilivyokuwa mlima Sekenke, kiko kule kwetu karibia na nyumbani, katikati yake kuna barabara inakatisha, inaelekea kwenye kimji kidogo kizuri sana. Naomba mnikaribishe, nimekuja kusherekea sikuku ya Noel kwenu wana Jamii Forums. Asanteni
 
Karibu jamvini mpendwa....
 
Karibu sana kasiko. Kuna pacha wako humu anaitwa casico
 
Last edited by a moderator:
Hello! Ma bibi na ma bwana. Hamjambo wote? Mimi ninaitwa "kasiko" jina hili ni la kilima kimoja kikorofi kama ilivyokuwa mlima Sekenke, kiko kule kwetu karibia na nyumbani, katikati yake kuna barabara inakatisha, inaelekea kwenye kimji kidogo kizuri sana. Naomba mnikaribishe, nimekuja kusherekea sikuku ya Noel kwenu wana Jamii Forums. Asanteni

umeifufua tena hii id? Ndo umiss ama? Invisible kuja pande hii screening inahitajika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom