Habari zilizonifikia muda huu zinasema kwamba.....

Na huku kiungo wa mbao buswigu aliyekuwa asainishwe na yanga mida hii ametia kandarasi msimbazi haha

Hii ya niyonzima itawavuruga sana yanga

Manji rudi uokoe jahazi
mzee Akilimali yupo bana...Manji wa nini?

Yanga wanalo mwaka huu!!
 

Jamani saa nyingine muwe na huruma hawa ni watani zetu sio maadui, sasa mkibomoa timu nzima tutakua tunashindana na nani sasa kwenye ligi.
 
Simba haijawahi kuchukua jembe Hata siku moja kutoka yanga, walichowahi kupata ni wastaafu na wale ambao yanga imeamua kuwaacha kama makinikia tu
 
Mtu ambaye akiondoka Yanga ntalia ni KAMUSUKO NA CANAVARO TU.
Hawa wengine waache waende tu tunataka kujenga timu yenye Nidhamu Kwanza Pamoja na Pesa ila Nidhamu iwe ya Kwanza.

David Beckham,Christiano Ronaldo waliondoka Man utd ila Timu bado mpaka leo ipo.

Na hawa wachezaji mnaosajili ni kocha kapendekeza au kisa alikua Yanga kesho na keshokutwa akimpa pasi adui akafunga kauza mechi

Ushauri Kwa Yanga ni bora tupite kwenye Kipindi cha mpito kwa kuwekeza hata kwa Vijana na kubana matumizi kuliko kufanya usajili wa kufurahisha watu na mwishowe ndani ya msimu mchezaji kaachwa.

Simba Chukueni wote ila mwakani hatutaki kusikia mkianza kukimbilia FiFa tena
 
Hatuna ubaya nionzima akiondoka yanga.. Muhimu ni timu kuwa na utulivu tu na kufanya tunachokiweza coz tushajua timu yetu ina hali mbaya.. All is well
 
Mbona povu jingi si uwaache tu kaka
 
Simba haijawahi kuchukua jembe Hata siku moja kutoka yanga, walichowahi kupata ni wastaafu na wale ambao yanga imeamua kuwaacha kama makinikia tu
Baki ivo ivo na unyumbu wakoo
 
Simba waache kusajili sajili kwa sifa Harouna Niyonzima sio mchezaji wa kisajiliwa kwa zaidi ya million 30 na pia Simba inaviungo wengi, mahitaji ya Simba ni striker.
 
ila kiukweli inauma yanga yote jamanii aah izi dharau wanaleta simba sasa
 
Simba waache kusajili sajili kwa sifa Harouna Niyonzima sio mchezaji wa kisajiliwa kwa zaidi ya million 30 na pia Simba inaviungo wengi, mahitaji ya Simba ni striker.
ila kweli tatizo ela sasa
 
Ninyi mikia fc a. K. A FIFA tupeni point 3
Hata mngesajili Nani hamwezi kuchukua ubingwa bara

Nendeni kwenye kaburi LA James agrey siang, a mkaombe msamaha
Maana amekufa anawadai hela yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…