Ivi wandugu kutokana Na ma tatizo ya kukatika Umeme mala kwa Mala una Toka kwa mihangaiko yako umechoka mida km saa mbili ivi usiki una ingia geto ile una washa taa una muona nyoka katulia..... Una toka nje kwenda kuokota gongo uje ummalize wakati una ingia Na mlango uka funga asije aka toka nje upo Na gongo lako umesha mueka usawa wa kummaliza ..... Umeme ume kata ....... Kumbuka mlango ume funga ............ Una fanyaje??