Belleringal
Member
- May 25, 2020
- 83
- 155
Mambo zenu ..kwa jina naitwa Angelina naweza sema sio mzoefu Sana na mazingira ya humu
..lakini nilichofurahi nimekuta positive people ambao unaweza omba ushauri na wakakushauri vizur tu , jokes za hapa na pale pia hufurahisha Asante Sana kwa kipindi kichache nimetangaza biashara yangu Kuna wapioipokea and am greatful for that ...asanteni Sana