Habari

Habari

Jaman mm na one ya point 9 PCB nasoma education, Nataka niache (kwa sababu nazo zijua ) education ni apply mwezi wa saba tena kozi nyingne (nursing), hivi naweza kufanikiwa kuchaguliwa kweli wakuu
Naombeni maoni yenu na mitazamo yenu
Kwanini usiulize kwenye chuo husika? Sababu za kuacha umesema unazijua so ulipaswa kujua pia plan B
 
Mzee ondoka hapo haraka sana,
Wacha wasiwasi..

Nenda Nursing na kama hutaipenda sana baadae unapiga MPH penalty ile paaleee...
 
Omba private colleges/institute kwa sababu govt hutapata kwa ushindani.

Madogo wote Wana one kali za 3-6! Wewe na kitisa chako unajiona huwezi kushika chaki.
 
Nenda tu kashike chaki,unaweza jiendeleza kupitia huko,usipadharau,wengi hufanya hivyo,that is a simple mathematics.
 
Jaman mm na one ya point 9 PCB nasoma education, Nataka niache (kwa sababu nazo zijua ) education ni apply mwezi wa saba tena kozi nyingne (nursing), hivi naweza kufanikiwa kuchaguliwa kweli wakuu
Naombeni maoni yenu na mitazamo yenu
PCM point 9 unaenda kusoma ualimu? Ama kweli masikini ni masikini!
 
Kwenye taarifa za tcu wanasema unabidi ulipe asilimia 25 ya mkopo ambao usha chukua ili uweze kuomba tena
Subutu jidanganye na hizo statement kama utaondoka kwenye hiyo degree programs basi tambua na ujiandae kujilipia mwenyewe ada kwenye degree programs nyingine.
Utaikumbuka hii
 
Jaman mm na one ya point 9 PCB nasoma education, Nataka niache (kwa sababu nazo zijua ) education ni apply mwezi wa saba tena kozi nyingne (nursing), hivi naweza kufanikiwa kuchaguliwa kweli wakuu
Naombeni maoni yenu na mitazamo yenu
Kazi ipo
 
Soma edu ukmaliza tafuta kazi ukipata jiendeleze , mashule ynajengwa kila siku huwezi kosa kazi huyo anakushauri uache edu mwangalie sana atakupoteza
 
Wanaokushauri usome education wanakupiga kata funua chembe kidevu lazima utakaa.

Kasome nursing utapata nafasi kama una uwezo kifedha apply vyuo binafsi
 
Back
Top Bottom