Habari

Habari

Joined
Mar 16, 2013
Posts
31
Reaction score
4
Mambo vp!!,Jamani mimi mgeni wenu hapa jf. Basi naomben kampan jinsia zote na hata kama kunadabo jinsia misibagui, ili nisiwe mgeni milele .Nipo moro town.karibun
 
Mambo vp!!,Jamani mimi mgeni wenu hapa jf. Basi naomben kampan jinsia zote na hata kama kunadabo jinsia misibagui, ili nisiwe mgeni milele .Nipo moro town.karibun

kabla sijaona jina nikataka kuuliza kama wewe ni double. Na mimi mgeni nakukaribisha
 
Akh santeni sana unajua nilitaka kukata tamaa nikidhani sito kuwa na marafiki.big up wandugu.
 
Back
Top Bottom