swit luv usisikilize maneno ya wifi yako eenh....anakupa presha tu za bureee!!!
wajua ninavyokupenda na wajua jinsi moyo wangu ulivyo karibu yako...
Thanks darling.... I love you, mwaaaaa!
Nawapenda wote niliwamiss kinomanoma ila nimerudi rasmi
Asante mwaya cousin nlikumisijeKaribu sana mpendwa..... Miss u big!!!!!!!!!!! :crying: :crying: