Mkoa gani ama ni mji gani huo wenye miujiza ya mazingira?Napenda kuwajulia hali nyote mlio online na mkawa mmkosa usingizi kama mimi, hii Tz ni kubwa mno! je, waweza amini nilipo mimi siku zote hakuna hata mbu mmoja!?huku kwetu ukimuona kiumbe huyo ni maajabu sana!
njombeMkoa gani ama ni mji gani huo wenye miujiza ya mazingira?
Usingizi hainogi kama sijasikia zile firimbi zao aiseeNapenda kuwajulia hali nyote mlio online na mkawa mmkosa usingizi kama mimi, hii Tz ni kubwa mno! je, waweza amini nilipo mimi siku zote hakuna hata mbu mmoja!?huku kwetu ukimuona kiumbe huyo ni maajabu sana!