Habarini za usiku huu wana jamvi

Habarini za usiku huu wana jamvi

Lipijema

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
830
Reaction score
1,223
Napenda kuwajulia hali nyote mlio online na mkawa mmkosa usingizi kama mimi, hii Tz ni kubwa mno! je, waweza amini nilipo mimi siku zote hakuna hata mbu mmoja!?huku kwetu ukimuona kiumbe huyo ni maajabu sana!
 
Mkoa gani ama ni mji gani huo wenye miujiza ya mazingira?
 
Vimwana wote hao huko unakosa usingizi ?
 
Huko njombe kuna mbu wa H. I. V tuu linaeleweka
 
Mkuu, habari ya Maisome...!!??
Wasalimie washkaji tulio kaanao pale sehem Geita....
 
Napenda kuwajulia hali nyote mlio online na mkawa mmkosa usingizi kama mimi, hii Tz ni kubwa mno! je, waweza amini nilipo mimi siku zote hakuna hata mbu mmoja!?huku kwetu ukimuona kiumbe huyo ni maajabu sana!
Usingizi hainogi kama sijasikia zile firimbi zao aisee
 
Back
Top Bottom