Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani ni HABATT SAWDAA,; ni dawa inayotokana na maua fulani yanapatikana sana nchi za asia. inatibu maradhi mengi sana kwa jinsi nilivyosoma somewhere. Kuna uzi fulani mkuu MziziMkavu aliwahi kuelezea kidogo hii kitu.
Kwa jinsi ninavyofahamu habatt sawdaa ni dawa ya magonjwa mengi.IPO ya mafuta,chenga na unga.mie natengeneza na kuuza juice ya tende ambapo habatt sawdaa ni kiungo katika hii juic e.inapatikana sanasana kwenye maduka ya miskitini wanapouza vitabu, makanzu na dawa za asili.kama uko dar nenda mwenge mskitini ,au mwenge sokoni kuna mbabu anauza
Bonyeza hapa.Topic: Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.UJe? Huandikwa hivyo? Inasaidia nini kwa binadamu? Je kwa watoto pia inafaa? Wapi yaweza kupatikanaa. Nashukuru.
Akhsante.