SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Utopolo wengi ni mataahira kabisaShida ya makolo wengi hawana akili. Hawajui jema wala baya. Badala ya kusema ukweli timu yenu ifanye vizuri mnakalia majungu. Unamfananisha kambole mchezaji aliyecheza ligi bora yenye ushindani na wachezaji wenye quality na mchezaji habib ambaye timu yake tu yeyote anapata namba.
Morisoni goli 0 , kyombo 6.
Nani karamba galasa ?
Hata topolo Nkane kachezea Biashara Utd iliyoshuka daraja
Hivi ligi ya Afrika kusini ina ubora gani si kama hii ya hapa kwetu tu ligi ambayo Abdi banda anapata nafasi ya kucheza wakati ni mchezaji wa kawaida tu hapa kwetu pengine ligi yetu ni ngumu kuliko hata hiyo ya Afrika kusini hasa tukiangalia miundo mbinu ya viwanja vyetu kwa mchezaji kama Kambole atasumbuka Sana tofauti na Kiyombo ambaye amezoea viwanja kama mabatini na sokoineShida ya makolo wengi hawana akili. Hawajui jema wala baya. Badala ya kusema ukweli timu yenu ifanye vizuri mnakalia majungu. Unamfananisha kambole mchezaji aliyecheza ligi bora yenye ushindani na wachezaji wenye quality na mchezaji habib ambaye timu yake tu yeyote anapata namba.
Tunataka kuweka kumbukumbu sawa, ligi ikishaanza atutaki kusikia maneno ya kwamba gsm anahonga waamuzi, mara gsm anahonga wachezaji wetu, ayo maneno atutaki kuyasikia tena, aina ya usajili mnayoifanya ndo iyo ya kina kyombo kwamba ndo imesimamisha nchi, mkianza kupelekewa moto mkae kimyaa, usajili wa kyombo ni pendekezo la matola ameona anafaa maana siwezi kumsingizia kocha mpya wakati alikuwa ajamuona ata akicheza, Ni mchezaji ambae akijitambua atawasaidia lakini sio mchezaji wa kusimamisha nchi kama msemaji wenu alivyosema, hana tofauti yoyote na wakina kibu denis au Hassan dilungaSimba Leo imeanza kutambulisha wachezaji wake wapya kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi, Leo wamemtambulisha mshambuliaji hatari wa mbeya kwanza, Habib Kyombo, anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa baada ya Mosses Phiri.
Usajili wa Kambole umepokewa kwa hisia tofauti, wapo wanaombeza na kudai Simba imefilisika na haina uwezo wa kifedha, wapo wanaosifia kwa kusema kuwa Kyombo ni mzuri na atasaidia sana.
Mimi nakubaliana na wale wanaosifia usajili wa Kyombo, Habib Kyombo ana uzoefu sana kwa wachezaji wa hapa ndani, Leo nchi haina mshambuliaji wa kati ukiondoa Mbwana Samatta, Stars tunaiona ikihangaika na George Mpole na Kibu Dennis kama washambuliaji wazawa wa kutuvusha, hakuna tena mshambuliaji wa kati ambaye tukimtaja watu wanaweza kusema kweli tumepata mtu.
Habib Kyombo ni chaguo sahihi kabisa, Habib Kyombo ambaye aliwahi kuchezea Mamelod Sundowns kabla ya kuumia, atakuja kuwajibu wanaombeza uwanjani, namshauri afanye mazoezi kwa bidii, ajitume, kwa timu kama Simba anaweza kuwaprove wrong critics wote.
Bahati nzuri mchezo wa mpira ni mchezo wa wazi, ikiwa kama Kyombo kafunga mabao 6 katika mechi 15 watu wanambeza vip huyo Kambole aliyefunga bao 2 tu katika mechi 40, nani zuzu hapo?
Brother unaonekana empty kabisa kwenye masuala ya soka. Yaani ligi ya south ni ya kawaida?? Ukawaida wake unaupima kwenye nini? Uwekezaji?? Thamani ya trophy?? Uwezo wa kiuchumi kwa team?? Thamani ya mchezaji mmoja mmoja?? Quality ya mchezaji mmoja mmoja?? Bajeti za clubs?? Mipango ya team?? Hii nchi uhuru unatumika vibaya sanaHivi ligi ya Afrika kusini ina ubora gani si kama hii ya hapa kwetu tu ligi ambayo Abdi banda anapata nafasi ya kucheza wakati ni mchezaji wa kawaida tu hapa kwetu pengine ligi yetu ni ngumu kuliko hata hiyo ya Afrika kusini hasa tukiangalia miundo mbinu ya viwanja vyetu kwa mchezaji kama Kambole atasumbuka Sana tofauti na Kiyombo ambaye amezoea viwanja kama mabatini na sokoine
Hongera wewe ambaye sio empty ila hapo nimejaribu kulinganisha huo ubora mnaosema na baadhi ya wachezaji wanaosajiliwa hivi unataka kuniambia Abdi ana thamani kumzidi Zimbwe jrBrother unaonekana empty kabisa kwenye masuala ya soka. Yaani ligi ya south ni ya kawaida?? Ukawaida wake unaupima kwenye nini? Uwekezaji?? Thamani ya trophy?? Uwezo wa kiuchumi kwa team?? Thamani ya mchezaji mmoja mmoja?? Quality ya mchezaji mmoja mmoja?? Bajeti za clubs?? Mipango ya team?? Hii nchi uhuru unatumika vibaya sana