Habib Kyombo ameomba kuvunja mkataba, tumemkubalia

Habib Kyombo ameomba kuvunja mkataba, tumemkubalia

Mtaje mchezaji wa Sasa au miaka 20 iliyopita namba 10 mwenye uwezo wakucheza eneo lote la mbele apo Simba kama K. Aziz
Uelezee kwanza huo ubora wa Aziz Ki kitakwimu kisha nikuletee takwimu za mchezaji wa Simba Sc.
 
Yaani usajiri mpaka sasa
Yanga inaongoza kwa ubora
Azam ikifuatia..
Timu zingine zinafuatia kwa mbali..
 
Akitaja nitag[emoji23][emoji23][emoji23]

Majamaa yanabeba free agent tu(wachaezaji wa bure) wanaishia kubeba kina kambole,morisson,ki azizi, n.k hawawezi kununua mkataba hao

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Subirini moto wake ...mtatia huruma sana nyie..badala ya kusajili watu wa maana mnabakia na migogoro tu saa hizi
 
Takwimu anazo Manula na ukuta wote wa Simba, kuanzia DSM mbaka Benin.
Hapa sasa umeproove nilichotangulia kusema mwanzani, Aziz Ki ni mchezaji mzuri ila sio tishio kama mnavyojaribu kulikuza jina lake.

Anaonekana dhahabu kwenu kwakua tu aliifunga Simba Sc (rivals wenu), ndiomaana hujaona vilabu vikubwa vyenye pesa vikimhangaikia. Wameonekana akina Adebayor& Konate kwanini sio Ki?

Nasubiri useme vilabu gani vikubwa mlivyoshindana navyo kumnyakua KI au ni mkataba gani mliovunja, maana huko mbeleni ulidai mmenunua wachezaji wa bei ghali.
 
Subirini moto wake ...mtatia huruma sana nyie..badala ya kusajili watu wa maana mnabakia na migogoro tu saa hizi
Tangu mwanzo tumewaambia mtuonyeshe hata mchezaji mmoja wa maana mliyeesajili kiasi cha kutamba hivyo, mtupe na sababu za kwanini mnadhani ni hatari (takwimu zao walikotoka).

Kama hilo ni gumu basi mtajeni hata mchezaji mliemvunjia mkataba kwenye team anayotoka, sio kudai mmesajili wachezaji wakubwa ilhali ni FREE AGENT.
 
Kwahiyo hujui mkataba wa Aziz Ki pale ASEC ulikuwa ukingoni msimu huu?? Fuatilia kisha urudi tena mkuu, hamjavunj mkataba wa mchezaji yoyote yule mliosajili. Lakini pia hakuna team zozote kubwa zilizohitaji saini ya mchezaji huyo kiasi cha nyinyi kudai kuwa mbagombea wachezaji sokoni.
 
wewe ni wakala wake?
 
Back
Top Bottom