Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba. Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa Yanga.
Bangala na Job na aliweza kushinda mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa kupiga chenga, alikuwa akionyeshana sana ubavu na mabeki wa Yanga.
Habib Kyombo hastahili kukaa benchi, huyo Manzoki tunayetaka kumwaga mahela ni afadhali tuendelee na Kyombo.