44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Mkuu acha kukumbatia visivyokumbatika,in short hakuna mchezaji paleMwacheni atafanya vizuri alikua na kitete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kukumbatia visivyokumbatika,in short hakuna mchezaji paleMwacheni atafanya vizuri alikua na kitete
Hata angekuwa Boko hyo nafas asngepotezaAchana kumfananisha lapulga na V2 vya kijinga unazani ile nafasi Kyombo,,, Mess anakuachaje
Sasa si ndo striker wetu?.kwasasa msimpanikishe mpeni moyo kama atauzwa badae sawa. Ila ndo wetu huyoo au mnavunja mkataba mumlipe?Mkuu acha kukumbatia visivyokumbatika,in short hakuna mchezaji pale
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa si ndo striker wetu?.kwasasa msimpanikishe mpeni moyo kama atauzwa badae sawa. Ila ndo wetu huyoo au mnavunja mkataba mumlipe?
Huyo aliyeleta mada ni limbukeni fulani jinga jinga. Nilileta mada nikisema Kyombo ni mchezaji mzuri anayestahili kupewa nafasi zaidi, yeye akausoma akaanzisha wake akisema ni mchezaji bora kuliko wote. Kisa tu anikwaze.Huu Uzi bwana kila nikiupitia nacheka tu, Kyombo ni mchezaji mzuri sawa Ila siyo Bora kuliko maforward wote Tz, daaah ushabiki huu, au wewe ndo Kyombo nn ulikuwa unajipigia debe usikae benchi, Jana umepewa nafasi ukatunyima gori la wazi daaaaa[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
Mwacheni atafanya vizuri alikua na kitete
Hata angekuwa Boko hyo nafas asngepoteza