Habib Kyombo ndiye mshambuliaji pekee hatari mzawa hapa nchini, Mgunda asimweke sana benchi

Mkuu acha kukumbatia visivyokumbatika,in short hakuna mchezaji pale
Sasa si ndo striker wetu?.kwasasa msimpanikishe mpeni moyo kama atauzwa badae sawa. Ila ndo wetu huyoo au mnavunja mkataba mumlipe?
 
Huu Uzi bwana kila nikiupitia nacheka tu, Kyombo ni mchezaji mzuri sawa Ila siyo Bora kuliko maforward wote Tz, daaah ushabiki huu, au wewe ndo Kyombo nn ulikuwa unajipigia debe usikae benchi, Jana umepewa nafasi ukatunyima gori la wazi daaaaa[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
 
Huyo aliyeleta mada ni limbukeni fulani jinga jinga. Nilileta mada nikisema Kyombo ni mchezaji mzuri anayestahili kupewa nafasi zaidi, yeye akausoma akaanzisha wake akisema ni mchezaji bora kuliko wote. Kisa tu anikwaze.
 
Back
Top Bottom