Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba, Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa yanga, bangala na job na aliweza ku win mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa kupiga chenga, alikuwa akionyeshana sana ubavu na mabeki wa yanga.
Habib kyombo hastahili kukaa benchi, huyo manzoki tunayetaka kumwaga mahela ni afadhali tuendelee na Kyombo
Yani huwa nawashangaa sana kumuacha kyombo hivi wanajielewa kweli?Phiri Kyombo Okrah
Chama
Kanoute Mzamiru
Zimbwe Onyango Inonga Israh
Manula
Bench: Beno, Kennedy, Nyoni, Kapama, Kibu, Banda, Sakho.
Amjui anamsikiaskia tu,kha,,!Samahani mkuu..unamjua manzoki lakini????samahani lkn
Naomba matokeo ya mechi! Maana siyo kwa tambo zile!!Yani huwa nawashangaa sana kumuacha kyombo hivi wanajielewa kweli?
Mimi na ww nani alikua anatamba mkuu jamanii. Nyie si mlisema hasira mtakuja kuzimalizia kwetu ndo hasira zenyewe hizi? HahaaaaNaomba matokeo ya mechi! Maana siyo kwa tambo zile!!
Benchi kinyaa tupuPhiri Kyombo Okrah
Chama
Kanoute Mzamiru
Zimbwe Onyango Inonga Israh
Manula
Bench: Beno, Kennedy, Nyoni, Kapama, Kibu, Banda, Sakho.
Manzoki imuona wapi akicheza mkuu?Samahani mkuu..unamjua manzoki lakini????samahani lkn
Makambo alitoka na mangapi?Huyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.
Huna akili.Ndilo ninaloweza kusema kwa sasaTuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba, Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa yanga, bangala na job na aliweza ku win mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa kupiga chenga, alikuwa akionyeshana sana ubavu na mabeki wa yanga.
Habib kyombo hastahili kukaa benchi, huyo manzoki tunayetaka kumwaga mahela ni afadhali tuendelee na Kyombo
Nyani wametoa hasira kwa kuambulia sareMimi na ww nani alikua anatamba mkuu jamanii. Nyie si mlisema hasira mtakuja kuzimalizia kwetu ndo hasira zenyewe hizi? Hahaaaa
Ungekuwa unajua mpira hata chembe ungemuheshimu sana Kyombo. Kuweza kufunga magoli 7 ukiwa na timu iliyoshuka daraja ni dalili kuwa ni mchezaji wa daraja la juu sana.Huyu huyu kyombo aliyetoka na gori 7 mbeya kwanza ndio kawa mshambukiaji hatari?. Dah mnamasihara na mpira sasa.
Bahati mbaya wenye uelewa kama huu mpo wachache sana mkuu.Ungekuwa unajua mpira hata chembe ungemuheshimu sana Kyombo. Kuweza kufunga magoli 7 ukiwa na timu iliyoshuka daraja ni dalili kuwa ni mchezaji wa daraja la juu sana.