Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa pole zako tu inatosha. Hakuna haja ya kutaja taja chama cha siasa hapa.Tangulia Kamanda, hapo tunawaza msiba CCM wanawaza jinsi ya kuiba uchaguzi huo.....
Kwani aliyefariki ni mwanamuziki?Toa pole zako tu inatosha. Hakuna haja ya kutaja taja chama cha siasa hapa.
Zito AKAZIKWE NAYEZitto Kabwe na Mzee Makamba naomba mtwambie na huyu Ndugu alikuwa mtu mbaya ndio maana amekufa?
Kila nafsi itaonja mauti
Haijalishi.Kwani aliyefariki ni mwanamuziki?
Watu wazuri hawafi!!! Huyu ni mtu mbayaHabib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na familia.
SAWA, narudia Tena kama haijalishi, CCM mnawaza jinsi mtakavyoiba kura kwenye uchaguzi wa marudio. Ukinuna, nuna, vimba na upasuke!Haijalishi.
Ngoja kifo kitokee hapo ufipa.SAWA, narudia Tena kama haijalishi, CCM mnawaza jinsi mtakavyoiba kura kwenye uchaguzi wa marudio. Ukinuna, nuna, vimba na upasuke!