TANZIA Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba(ACT Wazalendo), afariki Dunia

TANZIA Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba(ACT Wazalendo), afariki Dunia

#YusuphMakamba Naomba utuambie ubaya wa Marehemu!

Maana ulisema
"Wazuri hawafi"
 
Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na familia.

R.I.P
 
Back
Top Bottom