Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na familia.