Ninachoma Dollar
Senior Member
- May 29, 2014
- 117
- 134
Nikiri wazi kabisa,Binafsi ni msomaji mzuri wa makala mbalimbali kutoka majukwaa tofauti.Ila Habibu B. Anga unastahili pongezi kweliiiii.... Libarikiwe tumbo lililokuzaa.Nashukuru sana Mkuu kwa pongezi na kunitia moyo.
Ni adimu sana watu wa sekta moja kuonesha appreciation kwa mwingine. Inadhihirisha ukomavu wa haiba na misuli yako ya fikra.
Mwenyezi Mungu akuweke nawe pia ndugu yangu tuendelee kusongesha hili gurudumu.
Naamini siku moja mbegu tunayoipanda itamea maua mema sana kwenye jamii yetu.
Cheers Comrade.
Dosari zipo nyingi sana, na hapa huu si muda muafaka, ila kama nilivyo dodosa hapo juu ya kuwa amekosea kuanzia katika anuani ya mada na katika yale yaliyomo, sababu ile mada mada inahusu Elimu fulani ya mambo ya kisheria,Elimu ambayo ili upate usahihi wake inabidi uoate muda wa kuwauliza wasomi wa Elimu hiyi, jambo ambalo mtoa mada hakulifanya zaidi ya kutuwekea masimulizi, hii ikapelekea kukosea mambo mengi juu ya ile mada.Makala ya kuchinja watu inadosari gani mkuu utujuze ?
Umeeleweka vyema mkuu ,kongole kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilikuwa na mashaka nayo katika baadhi ya sehemu.Dosari zipo nyingi sana, na hapa huu si muda muafaka, ila kama nilivyo dodosa hapo juu ya kuwa amekosea kuanzia katika anuani ya mada na katika yale yaliyomo, sababu ile mada mada inahusu Elimu fulani ya mambo ya kisheria,Elimu ambayo ili upate usahihi wake inabidi uoate muda wa kuwauliza wasomi wa Elimu hiyi, jambo ambalo mtoa mada hakulifanya zaidi ya kutuwekea masimulizi, hii ikapelekea kukosea mambo mengi juu ya ile mada.
Hakika anastahili@Nikiri wazi kabisa,Binafsi ni msomaji mzuri wa makala mbalimbali kutoka majukwaa tofauti.Ila Habibu B. Anga unastahili pongezi kweliiiii.... Libarikiwe tumbo lililokuzaa.
seenUmeeleweka vyema mkuu ,kongole kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilikuwa na mashaka nayo katika baadhi ya sehemu.
pamoja sana baba la baba[emoji109][emoji109]
Wabongo mmenishinda tabia kwa kweli. SiwaweziDosari zipo nyingi sana, na hapa huu si muda muafaka, ila kama nilivyo dodosa hapo juu ya kuwa amekosea kuanzia katika anuani ya mada na katika yale yaliyomo, sababu ile mada mada inahusu Elimu fulani ya mambo ya kisheria,Elimu ambayo ili upate usahihi wake inabidi uoate muda wa kuwauliza wasomi wa Elimu hiyi, jambo ambalo mtoa mada hakulifanya zaidi ya kutuwekea masimulizi, hii ikapelekea kukosea mambo mengi juu ya ile mada.
Mimi ninamfuatilia Habibu tangia mwaka 2017Tuambie hayo uliyojifunza utahamasisha na wengine wasio mfatilia kuanza kumfatilia.
Ameen kwa maana Mungu ndiye aliyempa Habibu kipajiSifa na utukufu ziwaendee Yesu na Mungu.
Hakika mkuu. Kujidharau sana sio jambo jema hata machoni pa Bwana (Mungu)kila mmoja anabeba dhima ya umuhimu kwa wengineo, usijidharau kiasi hicho hata kwa njia ya utani........
I like this kijana wangu Soldierzitto junior I appreciate you too brother. Unaandikaga madini sana. Long live Jamiiforums
Umefanya kitendo cha uungwana kuona mema ya huyu bwana Habibu B. Anga .Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu Watanzania huyu Habibu B. Anga (The Bold) Mungu ampe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate his writings here on JF. I wish him all the best.
Ninapenda kutumia wasaa huu kutuma salama zangu za pongezi pamoja na heartfelt appreciation kwa ndugu yangu Habibu B. Anga kwa makala zake nzuri sana humu JF ambazo honestly nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana mema na mazuri ambayo nilikuwa sijawahi kuyafahamu hapo kabla.
Mimi pia ni mwandishi wa makala kule jukwaa la Jamii Intelligence ila Habibu B. Anga anajua sana kusimulia na kupangilia story zake. Kwa kweli ananikosha sana. Ona hii sasa;
Christiano Ronaldo (CR7) alipokuwa bado anachezea Real aliwahi kuwapiga hat trick Atletico Madrid katika uwanja wa nyumbani wa Santiago Bernabeu kwenye mechi ya kwanza ya league kuu wa Spain (La Liga)
Kwenye mechi ya Round ya Pili katika uwanja wa nyumbani wa Atletico Madrid wa Estadio Metropolitano Ronaldo akapiga tena hat trick.
Baada ya kuona vile mashabiki woooote wa Atletico Madrid kwa heshima kubwa wakaamua kunyanyuka juu ya viti vyao na wote kwa pamoja kuanza kumpigia makofi CR7 baba lao.
Habibu ndio CR7 wa Jamiiforums kwa sasa.
Mkuu, endelea kutupa ladha pasipo kuchoka.
Long live Habibu. Long live JamiiForums.
Mimi ninamfuatilia Habibu tangia mwaka 2017 mpaka sasa. The guy is very very bright when it comes to narrating a story.Umefanya kitendo cha uungwana kuona mema ya huyu bwana Habibu B. Anga .
Binafsi namfatilia sana lakini naomba kumbusha kitu katika Unit 15 ile story namba moja ajitahidi asiende mbali sana ili tuweze kuelewa vizuri.
I appreciate him.
Huu uzi mtamu sana
Mhhh. Hii ndio nini tena mkuu?MATAGA: Bila awamu ya 5 Habibu Hanga asingekuwa hapa, tunapenda kutoa shukrani za pekee kwa Rais wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania
Absolutely right mkuuHuyo jamaa anajua Sana kupangilia story zake kama movie
Ndio akina nani hao?Matapeli wa kizazi hiki!
Sawa mlalamikajiNilimkubali sana mwanzo huyo jamaa na nilikuwa big fan wake ila alivoanza kusimulia nusunusu mara aende kumalizia hadithi zake kwenye group la WhatsApp ambalo sijui member ili wajoin walipie nikaona apa kuna kitu Story mara isimuliwe wiki mbili hata haieleweki itaisha lini nikaona isiwe tabu nikapotezea kufatilia afu alikuja kuungana na Mzee wa Canada Tycoon Ontario nkapunguza speed kumfatilia mpaka now simfatilii kabisa ila yupo vizuri kwenye data collection na Kuzi merge ili zileta Attractive storu shida yake ameshindwa kujua approach sahihi ya kuingiza pesa kupitia JF na Kalamu anayotumia