Habibu Mchange: Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM

Habibu Mchange: Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
“Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM, wote walionitukana wakati nimejiunga na CCM sasa hivi tuko nao wote CCM” Habibu Mchange


 
Yote hii ni katika harakati za kukimbia kilimo kijijini. Mwaka wa 10 huyu bwana anatangatanga, angekuwa amefungua genge miaka iyo, angeweza kuwa na mafanikio makubwa sana hii leo.

Kwa ufupi siasa imemkataa
 
Back
Top Bottom