Hachi the Dog: Simulizi ya kusisimua ya mbwa wa Japan aitwae Hachiko

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
SALUTE COMRADE..
Ulishawahi kumsikia mbwa aliyeitwa Hachiko kama utaenda Tokyo Japan basi utasikia habari za huyo mbwa anayeitwa Hachikpo

Hachiko ni shujaa wa kitaifa wa wajapani, ni maarufu sana na kuna muvi kadhaa zimetengenezwa kuhusu habari zake.

Ana sanamu lake la bronze pembezoni mwa kituo cha train cha Shibuya kwenye mji wa Tokyo, ambapo maelfu ya watu kila siku hutembelea hapo kupiga picha ..
Hata Hollywood washatengeneza filamu kuhusu huyu mbwa aliyeitwa hachiko Kuna sanamu la hachiko katika kisiwa cha Rhode nchini marekani ambapo filamu ya hachiko ilitengenezwa

Kwanini mbwa huyu ni maarufu sana?

Eizaburo Ueno,profesa wa sayansi ya kilimo katika chuo cha Tokyo University Japan, kwa muda mrefu alikua anahitaji Mbegu halisi ya mbwa wanaoitwa Akita. Alitafuta mtoto wa mbwa aina ya akita kwa muda mrefu, mpaka mwanafunzi wake mmoja alipomshawishi kumchukua na kumlea hachiko kutoka mji wa Odate

Hachiko, pia alifahamika kama Hachi, na mmiliki wake mpya Eizaburo kwa muda mfupi tu walikua marafiki wakubwaand. Eizaburo alimpenda sana mbwa wake na alimuhudumia kama mwanae kamwe walikua hawatengani, alipo Hachi na Eizaburo yupo, alipo Eizaburo Hachi yupo

timthumb.jpg

Hachiko and his best friend and owner Eizaburo

timthumb (1).jpg

Hachiko with his owner`s wife

Hachiko alipokua mkubwa alikua akimwona mmiliki wake akiamka asubhi kwenda kazini kwa treni katika stesheni ya Shibuya Train Station hivyo wakati wa mchana Hachiko alikua anaenda kwenye kituo hicho cha treni kumchukua mmiliki wake wakati akiwa ametoka kazini .

Mnamo mwezi May 21, 1925,Miaka miwili tu baada ya hachiko kuzaliwa, Hachiko alikua amekaa katika mlango wa kutokea stesheni alipozoea kusubiria mmiliki wake Eizaburo, lakini siku hiyo mmiliki wake hakutokea…

Ikafahamika kua Eizaburo alikua naumwa ugonjwa wa cerebral hemorrhage (kuingia damu kwenye ubongo) na alifariki ghafla wakati akiwa kazini

Hachiko alihamishwa na mtunzaji wa bustani wa familia ya Uenoy, Lakini katika miaka yote aliyoishi duniani alikua kila siku anaenda mchana na asubuhi ambapo alikaa kwa masaa kadhaa kumsubiri mmiliki wake katika stesheni ya Shibuya ambaye hakurudi tena. Inasemekana alitumia miaka tisa kumsubiri mmiliki wake hadi nayeye alipokufa

Mwandishi mmoja wa gazeti nchini Japan aliandika historia ya mbwa Hachiko na kuichapisha mwaka 1932 ambapo ilimfanya Hachiko kua mbwa

Watu walianza kumwita “Chuken-Hachiko“, wakimaanisahawhich means “Hachiko – Mbwa mwaminifu “.
Historia hii ya mbwa hachiko ilianza kupata umaarufu mkubwa kupitia vyombo vya habari, iliwavutia wengi kutoa maeneon mengi duniani wakawa wanakuja kumuona hachiko katika Kituo cha shibuya na kumpatia huduma mbalimbali, aligusa mioyo ya wajapani wakamfanya kama shujaa wao .

Hachiko in the Japanese newspaper

timthumb (3).jpg

Pictures of Hachiko in the newspaper

sanamu la mbwa hachiko

1934 sanamu la Hachiko lilizinduliwa kwa sharehe kubwa mbele ya kituo cha treni cha shibuya, Hachiko mwenyewe ndie alikua mgeni rasmi.

timthumb (4).jpg
Haichiko in front of his statue

Hachiko alifariki kwa amani pekee yaka mtaani karibu na stesheni ya shibuya mwezi March 8, 1935.

Hachiko sasa hivi anaonyeshwa kwenye jumba la makumbusho la National Science Museum in Ueno, Tokyo.

timthumb (5).jpg

Kuna sanamu pia pembeni mwa kaburi la mmiliki wake Eizaburo katika makaburi Aoyama,Tokyo.
grave.jpg

.

Yameshatengenezwa masanamu mawili ya shaba ya mbwa hachiko jijini Tokyo, moja liliondolewa katika kipindi cha vita ya pili ya dunia likayeyushwa likatumika kama malighafi ya vyuma kutengeneza siraha. Pia katika ukuta wa stesheni ya shibuya kuna michoro ya mbwa Hachiko:
DSC7126-705x468.jpg

Beautiful mosaic artwork of Hachiko at Shibuya Train Station, Tokyo

Mwaka1987 ilitengenezwa filamu nchini japaniliyoitwa “Hachiko Monogatari”.

Mwaka 2009 Hollywood walitengeneza filamu pia iliyoitwa “Hachiko – A Dog`s Tale“.

hili ndilo trela la muvi inayomwelezea mbwa Hachiko a.k.a hachi

~Da'Vinci..
Jf expert member
 
filamu yake niliwahi kuiona ni nzuri kwa ufupi
SALUTE COMRADE..
Ulishawahi kumsikia mbwa aliyeitwa Hachiko kama utaenda Tokyo Japan basi utasikia habari za huyo mbwa anayeitwa Hachikpo

Hachiko ni shujaa wa kitaifa wa wajapani, ni maarufu sana na kuna muvi kadhaa zimetengenezwa kuhusu habari zake.

Ana sanamu lake la bronze pembezoni mwa kituo cha train cha Shibuya kwenye mji wa Tokyo, ambapo maelfu ya watu kila siku hutembelea hapo kupiga picha ..
Hata Hollywood washatengeneza filamu kuhusu huyu mbwa aliyeitwa hachiko Kuna sanamu la hachiko katika kisiwa cha Rhode nchini marekani ambapo filamu ya hachiko ilitengenezwa

Kwanini mbwa huyu ni maarufu sana?

Eizaburo Ueno,profesa wa sayansi ya kilimo katika chuo cha Tokyo University Japan, kwa muda mrefu alikua anahitaji Mbegu halisi ya mbwa wanaoitwa Akita. Alitafuta mtoto wa mbwa aina ya akita kwa muda mrefu, mpaka mwanafunzi wake mmoja alipomshawishi kumchukua na kumlea hachiko kutoka mji wa Odate

Hachiko, pia alifahamika kama Hachi, na mmiliki wake mpya Eizaburo kwa muda mfupi tu walikua marafiki wakubwaand. Eizaburo alimpenda sana mbwa wake na alimuhudumia kama mwanae kamwe walikua hawatengani, alipo Hachi na Eizaburo yupo, alipo Eizaburo Hachi yupo

View attachment 954531
Hachiko and his best friend and owner Eizaburo

View attachment 954533
Hachiko with his owner`s wife

Hachiko alipokua mkubwa alikua akimwona mmiliki wake akiamka asubhi kwenda kazini kwa treni katika stesheni ya Shibuya Train Station hivyo wakati wa mchana Hachiko alikua anaenda kwenye kituo hicho cha treni kumchukua mmiliki wake wakati akiwa ametoka kazini .

Mnamo mwezi May 21, 1925,Miaka miwili tu baada ya hachiko kuzaliwa, Hachiko alikua amekaa katika mlango wa kutokea stesheni alipozoea kusubiria mmiliki wake Eizaburo, lakini siku hiyo mmiliki wake hakutokea…

Ikafahamika kua Eizaburo alikua naumwa ugonjwa wa cerebral hemorrhage (kuingia damu kwenye ubongo) na alifariki ghafla wakati akiwa kazini
Hachiko alihamishwa na mtunzaji wa bustani wa familia ya Uenoy, Lakini katika miaka yote aliyoishi duniani alikua kila siku anaenda mchana na asubuhi ambapo alikaa kwa masaa kadhaa kumsubiri mmiliki wake katika stesheni ya Shibuya ambaye hakurudi tena. Inasemekana alitumia miaka tisa kumsubiri mmiliki wake hadi nayeye alipokufa

Mwandishi mmoja wa gazeti nchini Japan aliandika historia ya mbwa Hachiko na kuichapisha mwaka 1932 ambapo ilimfanya Hachiko kua mbwa
Watu walianza kumwita “Chuken-Hachiko“, wakimaanisahawhich means “Hachiko – Mbwa mwaminifu “.
Historia hii ya mbwa hachiko ilianza kupata umaarufu mkubwa kupitia vyombo vya habari, iliwavutia wengi kutoa maeneon mengi duniani wakawa wanakuja kumuona hachiko katika Kituo cha shibuya na kumpatia huduma mbalimbali, aligusa mioyo ya wajapani wakamfanya kama shujaa wao .

Hachiko in the Japanese newspaper

View attachment 954534

Pictures of Hachiko in the newspaper

sanamu la mbwa hachiko

1934 sanamu la Hachiko lilizinduliwa kwa sharehe kubwa mbele ya kituo cha treni cha shibuya, Hachiko mwenyewe ndie alikua mgeni rasmi.

View attachment 954535
Haichiko in front of his statue

Hachiko alifariki kwa amani pekee yaka mtaani karibu na stesheni ya shibuya mwezi March 8, 1935.

Hachiko sasa hivi anaonyeshwa kwenye jumba la makumbusho la National Science Museum in Ueno, Tokyo.

View attachment 954538

Kuna sanamu pia pembeni mwa kaburi la mmiliki wake Eizaburo katika makaburi Aoyama,Tokyo.
View attachment 954536

.
Yameshatengenezwa masanamu mawili ya shaba ya mbwa hachiko jijini Tokyo, moja liliondolewa katika kipindi cha vita ya pili ya dunia likayeyushwa likatumika kama malighafi ya vyuma kutengeneza siraha. Pia katika ukuta wa stesheni ya shibuya kuna michoro ya mbwa Hachiko:
View attachment 954537

Beautiful mosaic artwork of Hachiko at Shibuya Train Station, Tokyo

Mwaka1987 ilitengenezwa filamu nchini japaniliyoitwa “Hachiko Monogatari”.

Mwaka 2009 Hollywood walitengeneza filamu pia iliyoitwa “Hachiko – A Dog`s Tale“.

hili ndilo trela la muvi inayomwelezea mbwa Hachiko a.k.a hachi

~Da'Vinci..
Jf expert member

inaelezea historia ya huyo mbwa.
 
Shibuya Railway station ingekua ni pale Makambako Tazara Railway Station.... story isingekuwapo hii
 
Kwa Mara ya kwanza niliiskia stori hii 4 yrs back redio Japan/kiswahili . ni hadithi inayogusa sana
 
Hadithi nzuri sana ya huyo mbwa . Kama wanadamu hatukosi cha kujifunza kwa kweli uvumilivu upendo na uaminifu. Kama tungalikua kama huyo mbwa kitabia kusingekuwepo maumivu kati yetu, lakini ajabu hayawani wametuzidi kwa tabia njema japo hawana akili.
 
Back
Top Bottom