Hachi the Dog: Simulizi ya kusisimua ya mbwa wa Japan aitwae Hachiko

Hachi the Dog: Simulizi ya kusisimua ya mbwa wa Japan aitwae Hachiko

Hadithi nzuri sana ya huyo mbwa . Kama wanadamu hatukosi cha kujifunza kwa kweli uvumilivu upendo na uaminifu. Kama tungalikua kama huyo mbwa kitabia kusingekuwepo maumivu kati yetu, lakini ajabu hayawani wametuzidi kwa tabia njema japo hawana akili.
upande wangu huwa situmii tena neno kua fulani anaroho mbaya kama mnyama.. maana binaadam tunamatendo ya hovyo kuliko hao wanyama.. I love their kindness

Out of Topic..
Mkuu nimekukubali sana na sipirit yako ya kua Postive minded & thought kutokana na michango yako humu, hata kama kitu kilichoandikwa hakina mantiki wewe husimamia upande postive wa kupata maarifa wakati wengine wanamponda mtoa mada
 
"kamwe walikua hawatengani, alipo Hachi na Eizaburo yupo, alipo Eizaburo Hachi yupo"
Sasa wakati Prof anakung'uta papuchi Hachi alikuwa anawalia chabo au ?
 
"kamwe walikua hawatengani, alipo Hachi na Eizaburo yupo, alipo Eizaburo Hachi yupo"
Sasa wakati Prof anakung'uta papuchi Hachi alikuwa anawalia chabo au ?
Hahaaa kwanini umekimbilia huko mbali kwenye papuchi mbona hujasema chooni au chuoni? you're Dumb and dirty minded..
natania tu
 
Back
Top Bottom