Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

Nikutupeje Lizzy, huoni nataka kumwagia Erotica tindikali japo kidogo sababu yako?

Nakujali sana.

Hahahahaha. . . Mwali you are trouble. Ngoja nikatunge mashairi ya taarab chiti chati mie!!

Kongosho. . .hehehehe wifi , wifi siku ya pilau tu. Naona siku hizi umenitupa.
 
Last edited by a moderator:
Nikutupeje Lizzy, huoni nataka kumwagia Erotica tindikali japo kidogo sababu yako?

Nakujali sana.

Kongosho
Ahhhhh nakupendaje wifi. Embu twende chitichati kwanza ukanipe sapoti maana nataka kuanzisha bendi.

Mwali. . .beti ya kwanza tayari. Embu kaangalie uniambie kama ntaliweza jukwaa.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho, Mwali na Lizzy. Mie ni mwanamke mwenzenu bado sijawapata nyie
kutaka kunimwagia tindikali. Niliwauliza siku ile. nikawaambia hapa jf wanaume wanaonivutia
ni wengi tajeni wenu kabisa nijikwepeshe mkavunga. Leo hii ndio mko mbele kunitishia tindikali.
yaani kwa akili zenu nitakua tu nimetulia tuli nawaangalia tu?? Kumbukeni am erotic kila kitu sio Sex pekee.
 
Last edited by a moderator:
Erotica, mbona unajifanya mgumu kuelewa
wakati mambo yako wazi kabisa kwa wote?
Usifanya utani wa sana na Ronnie Coleman!
Wengine you may if you want, mi sina shida.
 
Last edited by a moderator:
Erotica, mbona unajifanya mgumu kuelewa
wakati mambo yako wazi kabisa kwa wote?
Usifanya utani wa sana na Ronnie Coleman!
Wengine you may if you want, mi sina shida.

Hapo ndipo unapokosea Mwali. Sikutoa warning mapema mimi?
Sikuomba kutambulishwa makakataa? Was it insecurity au kutojiamini?
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha. . Erotica pole kwa vitisho ila we mbona unajua?Kama Mwali alovyosema, usijifanye huelewi.
 
Last edited by a moderator:
Sio possesion as such,it is a demonic experience.
Nadhani mambo yanaharibika pale unapo anza kuipa ndoto too much importance
I really can't see how a wet dream here and there inaweza kua ni possession,
wewe hujawahi ota ndoto kama hizo? would you say you were possessed?
 
Hapo ndipo unapokosea Mwali. Sikutoa warning mapema mimi?
Sikuomba kutambulishwa makakataa? Was it insecurity au kutojiamini?

Erotica uchokozi sasa huo. . .
Mbona mpaka Mwali nilimtajia wake?Usiniambie kama kusoma huwezi, picha nazo zinakutatiza.
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo unapokosea Mwali. Sikutoa warning mapema mimi?
Sikuomba kutambulishwa makakataa? Was it insecurity au kutojiamini?
Erotica, si ndio tunatambulisha wa Lizzy sasa?
Au kulikua na deadline ya submission ya majina?
 
Last edited by a moderator:

@ erotica, kama umejaliwa maisha mazuri na unaye boyfriend na kama unaota hivi basi ujue kiko kitu ambacho yatakunyima tu. Labda i have some basics. kamwe hilo siyo wazo ni kweli kwani kwanini unakuta umechafuka, kama ni jasiri zinuse utasikia zikinukia harufu ya shahawa.
 
Erotica uchokozi sasa huo. . .
Mbona mpaka Mwali nilimtajia wake?Usiniambie kama kusoma huwezi, picha nazo zinakutatiza.
Ila mi nilisema wazi kua sio wangu, mimi ndie nampenda
hana time or interest. nahisi ana interest na Erotica yule...
But yako ipo clear as cristal, Erotica anataka compe tuu. lol
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mambo yanaharibika pale unapo anza kuipa ndoto too much importance
I really can't see how a wet dream here and there inaweza kua ni possession,
wewe hujawahi ota ndoto kama hizo? would you say you were possessed?

mwali jiulize kwanini kama ni wet dreams huwa zinakuwa na haru ya shahawa? mwanamke hnuki shahawa but hii huwa zinanuka hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Wow nimependa style ya uandishi wako! Hongera kwa kubaki mwepesi hiyo lazima ilikua wet dream!
 
Ila mi nilisema wazi kua sio wangu, mimi ndie nampenda
hana time or interest. nahisi ana interest na Erotica yule...
But yako ipo clear as cristal, Erotica anataka compe tuu. lol

Mwali sasa kama we hutaki kumwambia unategemea nini? Erry hapa ni mtaalamu wa ku-flirt ndo maana unaona kama kashamuweka kona vile.

Erotica. . . hahahahaha. . .punguza uchokozi wewe, ntakuchapa!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…