Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

He he he he Ndahani, kweli wewe za zamani.

Mwambie hivi, swallow me like how the fish swallowed Jonah.

Atanitema jumla jumla maana ni wa moto hataniweza. Baadhi ya vitu tunavyokutana navyo online vinachekesha sana. Ndo haya mambo ya kuongea na mtu unafikiria ni mwema mwisho wa yote unaishia kwenye matatizo makubwa.
 
Ha ha ha, ila kweli.

Ndahani mwishowe utataka nitoe siri. teh teh teh. Mbona wajihami hivo?
 
Last edited by a moderator:
Erotica, hakuna siri dunia hii bwana. Shauri yako kama unafikiri mambo yanakwenda kwa siri siri.

teh teh teh. si bora kusubiri zivuje kwanza zenyewe? nipe mpya, what is new kwako leo?
 
BAK hivo hivo mdogo mgogo nitafika tu! Sijawahi tamani june ifike haraka kama kipindi hiki.

kama sio cheating basi naombea itokee tena. teh teh the. ili isije nipeleka ni cheat kweli buree!

LOL! lakini ali mradi unaota ndoto za "kukusaidia" kupunguza nanihii 🙂🙂 basi hakuna shida June itaingia muda si mrefu ujao mrudi tena kujirusha kwenye viwanja vyenu kwa raha zenu...si ajabu mnaweza haya kuamua kuijaribu tena style bubu kwi kwi kwi :behindsofa:

Last edited by a moderator:
......tatizo ni pale utapoanza tafuta uthibitisho wa utamu huo toka kwa "perfect stranger..."

Si wazijua zile za " I have a Dream!"...kama Martin Luther King?
 
teh teh teh, BAK naona wewe umenielewa kabisa na unanitakie heri na mema. Hivi wewe ni DJ?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
......tatizo ni pale utapoanza tafuta uthibitisho wa utamu huo toka kwa "perfect stranger..."

Si wazijua zile za " I have a Dream!"...kama Martin Luther King?

teh teh teh. Mbu mbona sitafuti udhimbitisho wa utamu? natafuta wa kucheat.

so far nimeambiwa sijacheat hata ikitokea tena nisiwe na wasi wasi.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh, BAK naona wewe umenielewa kabisa na unanitakie heri na mema. Hivi wewe ni DJ?

Hapana Erotica mie si DJ ila Muziki napenda sana...nimerithi ugonjwa huu toka kwa Wazazi. 🙂🙂

Last edited by a moderator:
Aaah Nop haina kabisa uhusiano na ku-cheat....just a ndoto leave it as it is....ha ha ha....yaani hii stori ulianza kama ni tukio la kweli...kumbe ilikuwa ndoto. Unafaa sana kuwa mwandishi wa Riwaya hasa za mapenzi Erotica
 
Sante@Vinci.
 
As the vows goes.....
for better, for worse, for richer, for poorer, in sickness and in health, until death do us part.

Ukiangalia hapo sioni in dreams and in thoughts..., kwahio in that token you are okay.., the action involves the doings not the mere thoughts

So I can say you are safe, if all of us our thoughts could have been painted graphically am sure no one would have been in a relationship
 
Saizi am @ peace, natamani hata ndoto itokee tena mana nishajua sio cheatin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…