Hadharani: Shigongo Alivyomsema Rais Magufuli Kijasiri Marekani

Hadharani: Shigongo Alivyomsema Rais Magufuli Kijasiri Marekani

Haya ndio majibu ya kichadema
Yamejaa chuki,hasira na usomgomwingo
Hao siku hizi tunawaita waMbowe!! Si watanzania wenzetu japo wanaishi tanzania! Yaani chadema ni waMbowe wanaoishi Tanzania!! Haiwezekani ujiite mtanzania halafu unatukana watanzania wote na Rais wao!!
 
La maana ni Global Publishers kwenda na wakati kidijitali, hilo wamefanya vyema kuliko vyombo vingine vya media ya magazeti & TV
Shigongo amesema Global Publishers imeanzisha mifumo mbalimbali ya biashara zake mitandaoni kwa njia za kidijitali ambapo wasomaji wa magazeti yote yanayochapishwa na kampuni hiyo; Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Championi na Spoti Xtra sasa wanaweza kuyapata kupitia Application ya Global App wakanunua na kusoma kirahisi kabisa kwa njia ya simu au kompyuta zao hata kama wakiwa nyumbani.

Licha ya hivyo, Shigongo amebainisha pia kuwa, Global Group ina Televisheni ya Mtandaoni ya Global TV Online na Radio ya Mtandaoni ya +255 Global Radio, kurasa za mitandao ya kijamii ya Facebook, Twitter na Instagram ambazo zote kwa pamoja zimekuwa zikiwapasha habari wananchi kwa njia ya mtandao.
 
Akizungumza na Shirika la Habari la Sauti ya Amerika (Voice of America- VoA), Shigongo amesema uamuzi wa Rais Magufuli ni wa kijasiri kwa kiongozi yeyote shupavu na kwamba hali hiyo imesaidia kwa kiasi kikubwa kutokushusha uchumi wa Taifa licha ya janga hilo kutikisa dunia nzima.
Kwahiyo familia zilizopoteza wapendwa wao kwa Covid19 kwa uzembe wa serikali kutochukua hatua kali mapema nayo amempongeza au ameangalia uchumi tu?
 
Hivi zile hela zake alizodhulumiwa na ccm za kusambaza fulana , madela na kofia za kiwango cha chini vijijini alilipwa ?
Mkuu, ukweli wa nafsi ukiudharau na kuamua kuufumbata Kwa kutumia uongo kisa mtu unamdai, ni pressure ya kujitakia

Tanzania si ya kuwekwa Lockdown
 
Pascal Mayalla mwenzangu njoo huku kuna mwenzako. Naona mnashindana kusifia. Ngoja tuone nani atatoboa..... Wote ni wasukuma anyway, it is no wonder!
Kwa vile rais Magufuli ni Msukuma na akifanya vizuri, na ikitokea na wewe ukawa ni Msukuma, huruhusiwi kumpongeza kwasababu utaonekana ni ukabila?. Kwa hiyo wanaostahili kumpongeza rais Magufuli ni makabila mengine yote except Wasukuma?.
P
 
Kwa vile rais Magufuli ni Msukuma na akifanya vizuri, na ikitokea na wewe ukawa ni Msukuma, huruhusiwi kumpongeza kwasababu utaonekana ni ukabila?. Kwa hiyo wanaostahili kumpongeza rais Magufuli ni makabila mengine yote except Wasukuma?.
P
Hapana! Ukisifia visivyo vya kweli, hapo tutasema. By the way, fanya investigative jornalism ujue kabila la Rais ni lipi
 
Hivi alishamaliza masomo?
Niliambiwa ameambiwa asome spate ubunge wa Buchosa. ..
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom