Hadharani: Shigongo Alivyomsema Rais Magufuli Kijasiri Marekani

Haya ndio majibu ya kichadema
Yamejaa chuki,hasira na usomgomwingo
Hao siku hizi tunawaita waMbowe!! Si watanzania wenzetu japo wanaishi tanzania! Yaani chadema ni waMbowe wanaoishi Tanzania!! Haiwezekani ujiite mtanzania halafu unatukana watanzania wote na Rais wao!!
 
La maana ni Global Publishers kwenda na wakati kidijitali, hilo wamefanya vyema kuliko vyombo vingine vya media ya magazeti & TV
 
Kwahiyo familia zilizopoteza wapendwa wao kwa Covid19 kwa uzembe wa serikali kutochukua hatua kali mapema nayo amempongeza au ameangalia uchumi tu?
 
Hivi zile hela zake alizodhulumiwa na ccm za kusambaza fulana , madela na kofia za kiwango cha chini vijijini alilipwa ?
Mkuu, ukweli wa nafsi ukiudharau na kuamua kuufumbata Kwa kutumia uongo kisa mtu unamdai, ni pressure ya kujitakia

Tanzania si ya kuwekwa Lockdown
 
Hivi zile hela zake alizodhulumiwa na ccm za kusambaza fulana , madela na kofia za kiwango cha chini vijijini alilipwa ?
Alipewa option 2

Yakwanza tukulipe kisha tukupe kesi ya uhujumu uchumi au tukufillisi kabisa kupitia TRA
Jamaa akaandiika barua ya kusamehe deni kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla mwenzangu njoo huku kuna mwenzako. Naona mnashindana kusifia. Ngoja tuone nani atatoboa..... Wote ni wasukuma anyway, it is no wonder!
Kwa vile rais Magufuli ni Msukuma na akifanya vizuri, na ikitokea na wewe ukawa ni Msukuma, huruhusiwi kumpongeza kwasababu utaonekana ni ukabila?. Kwa hiyo wanaostahili kumpongeza rais Magufuli ni makabila mengine yote except Wasukuma?.
P
 
Hapana! Ukisifia visivyo vya kweli, hapo tutasema. By the way, fanya investigative jornalism ujue kabila la Rais ni lipi
 
Hivi alishamaliza masomo?
Niliambiwa ameambiwa asome spate ubunge wa Buchosa. ..
Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…