Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna madaraja ya kiwekwa mfano unaposema ili jiji alafu unakutana kuku wanazurura na mbuzi posta samora kweli ni jiji ilo.
Unapoweka hadhi ya sehemu inabidi kuweka masharti na vigezo ili kufata kilichosemwa.
Sehemu unaita manispaa ila unapishana punda barabarani.
Sehemu yenye Jiji unakuta mtu anafuga nguruwe tena mjini kabisa na ng'ombe wa maziwa huku akishirikiana na mkata majani.