Duuh unaelewa maana ya Jiji kweli na ni sifa zipi inabidi ziwepo ili sehemu iitwe JIJI, Manispaa au Mji πKuna madaraja ya kiwekwa mfano unaposema ili jiji alafu unakutana kuku wanazurura na mbuzi posta samora kweli ni jiji ilo.
Unapoweka hadhi ya sehemu inabidi kuweka masharti na vigezo ili kufata kilichosemwa.
Sehemu unaita manispaa ila unapishana punda barabarani.
Sehemu yenye Jiji unakuta mtu anafuga nguruwe tena mjini kabisa na ng'ombe wa maziwa huku akishirikiana na mkata majani.
Soma ujumbe ukamilike nimekuelezea vizuri hayo jiji sio magorofa na Night club !We tuambie Jiji likoje uleyekuwa na vitumbua kichwani
Jamaa anadhan jiji kuwa artificial 100%, anasahau kuwq kunakua na mchango wa Nature na kuna kitu mijin kinaitwa Urban farming. Ambacho majiji yote duniani kipoDuuh unaelewa maana ya Jiji kweli na ni sifa zipi inabidi ziwepo ili sehemu iitwe JIJI, Manispaa au Mji π
Ili sehemu iitwe tunaangalia yafuatayo Idadi ya watu , Uchumi imara ,Miundombinu , Huduma za kijamii na kutambuliwa kisheria nahisi pia Rais ana mamlaka ya kuipa hadhi sehemu kuwa jiji au manispaa ( sina uhakika ,naomba kusahihishwa kwa mnaoelewa hili)
Uwe mnaficha ujinga mandazi wewe
Jiji mkuu sio 100% modernized structure and infrastructure. Majiji yote ynakuaga na urban farming na shughuli za asili ya kale za eneo lile ikiwemo sikukuu za kidini, sherehe mbalimbali au mifumo flan ya maishq inayohusisha nature moja kwa moja.Aisee ujaelewa maana ya hadhi ,kwa sehemu ikiwekwa kuwa hadhi ya eneo la kilimo ulitalajia hukute mifugo
Dogo hataki kuona punda jijini ππJamaa anadhan jiji kuwa artificial 100%, anasahau kuwq kunakua na mchango wa Nature na kuna kitu mijin kinaitwa Urban farming. Ambacho majiji yote duniani kipo