Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Naona hiyo ya pili Slaa ameanza kuchokonolewa.Unalipwa mshahara hadi mauti
Una kinga ya kutoshitakwa
Kwahiyo hata akiua, ruksa?Unalipwa mshahara hadi mauti
Una kinga ya kutoshitakwa
Sifa za kijinga kwa wapumbavu ngozi nyeusiHuenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani?
Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa balozi?
Je, huwa wanaendelea kubakia na diplomatic status previlege maisha yao yote wakiwa na hiyo hadhi ya kuitwa balozi?
Hapa ni baadhi ya watu ya watu waliowahi kuwa mabalozi na hatukuwahi kuwasikia wakiitwa au kujiita mabalozi mara baada ya kuondoka kwenye kazi za ubalozi.
1. John Samweli Malecella
2. Salim Mohamed Salim
Kweli, lakini kutoshtakiwa ni pale anapokuwa nje ya nchi tu. Ndani unashtakiwa tu. Kumbuka Kesi ya Balozi Professor Costa Mahalu!Nafikiri Hilo la Diplamatic status privileges ni sahihi!
Umesahau kuwa kuna Mzee mmoja sasa ni Marehemu alipoitwa Balozi alikataa kwa kusema kuwa, unaitwa Balozi ukiwa unamwakilisha Rais na baada ya hapo, si sahihi kuitwa Balozi. Ni Marehemu Andrew Tibandebage ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa Mwalimu Nyerere.Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani?
Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa balozi?
Je, huwa wanaendelea kubakia na diplomatic status previlege maisha yao yote wakiwa na hiyo hadhi ya kuitwa balozi?
Hapa ni baadhi ya watu ya watu waliowahi kuwa mabalozi na hatukuwahi kuwasikia wakiitwa au kujiita mabalozi mara baada ya kuondoka kwenye kazi za ubalozi.
1. John Samweli Malecella
2. Salim Mohamed Salim
Kutoshitakiwa nadhani sio sahihi, nakumbuka Prof Mahalu aliyekuwa balozi Italy aliwahi kushitakiwa kwa ufisadi wakati wa JKUnalipwa mshahara hadi mauti
Una kinga ya kutoshitakwa
Kinga ya kuto shitakiwa wapi? Ukiwa Balozi kamili,Unalipwa mshahara hadi mauti
Una kinga ya kutoshitakwa
vile vile kuna sifa za kijinga kwa watu wanafki wanaoamini wao lazima wawepo kwenye system.na wasipokuwa kwenye system wanagruka kuwa wanaharakati.Sifa za kijinga kwa wapumbavu ngozi nyeusi
Na ni ukiwa Balozi kabisa yaani uko kazini, kwa hio unategemea Slaa aende labda Marekani afanye kosa asikamatwe? Anakamatwa vizuri sanaKweli, lakini kutoshtakiwa ni pale anapokuwa nje ya nchi tu. Ndani unashtakiwa tu. Kumbuka Kesi ya Balozi Professor Costa Mahalu!
Salim Mohamed = Salim Ahmed SalimHuenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani?
Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa balozi?
Je, huwa wanaendelea kubakia na diplomatic status previlege maisha yao yote wakiwa na hiyo hadhi ya kuitwa balozi?
Hapa ni baadhi ya watu ya watu waliowahi kuwa mabalozi na hatukuwahi kuwasikia wakiitwa au kujiita mabalozi mara baada ya kuondoka kwenye kazi za ubalozi.
1. John Samweli Malecella
2. Salim Mohamed Salim
Kuyo shitakiwa ni ukiwa Balozi kwenye nchi husika, wanacho fanya wana kufujuza unakuja kushitakiwa kwenye nchi yako,Kutoshitakiwa nadhani sio sahihi, nakumbuka Prof Mahalu aliyekuwa balozi Italy aliwahi kushitakiwa kwa ufisadi wakati wa JK
Hizi ni vyeo vya Waafrica wapenda sifa, Wazungu hawana huu ujingaUmesahau kuwa kuna Mzee mmoja sasa ni Marehemu alipoitwa Balozi alikataa kwa kusema kuwa, unaitwa Balozi ukiwa unamwakilisha Rais na baada ya hapo, si sahihi kuitwa Balozi. Ni Marehemu Andrew Tibandebage ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa Mwalimu Nyerere.