Hakuna maslahi ya Taifa kwa kuangalia nani ni Rais wakati huo!Mkuu Pohamba, Dr Slaa ananasimamilia
maslahi ya Taifa kama wewe. Tofouti zenu ni itikadi.
kwanini wasiwape copy muwe mnajisomea lila asubuhi na jioni badala ya kusubiri weeknd pekee ?Dp world haitakiwi , kesho Kanisani tunasomewa waraka na kuelezwa namna CCM inavyoumiza wananchi
Ni vita rasmi kati ya Kanisa la MITUME na CCM
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
Copy zinatolewa pia , na usomaji wa jumla unaendelea piakwanini wasiwape copy muwe mnajisomea lila asubuhi na jioni badala ya kusubiri weeknd pekee ?
Kwayiho tuwape Taifa DP World?Hakuna maslahi ya Taifa kwa kuangalia nani ni Rais wakati huo!
Unafiki ndio adui mkubwa wa Taifa kuliko ufisadi
Nadhani mzigo mkubwa zaidi kwake ulikuwa ni UpadriKama Dkt. Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kwa kupigania rasilimali naamini yupo kwenye mwisho mwema wa maisha yake hapa Duniani. Kwamba ameanza kwa kupigania haki na amezeeka akiwa mtetezi wa haki; alianza kwa kuhubiri uzalendo na amezeeka akipigania haki.
Waliomvua Ubalozi ipo siku watasimama nakuhojiwa na watamtaja kwa wema na siyo ubaya kwa sababu naamini wanajua wazi kwamba kilichomvua ubalozi siyo kashfa ya ufisadi bali ni nguvu kubwa aliyonayo yakumtukuza Mwenyenzi kutumia ukweli na kuwa wazi pale ambapo anaona na kwa maarifa aliyopewa na Mwenyenzi Mungu kwamba hiki siyo sawa.
Hakuna balozi nchi hii ambaye amewahi kusimama kutetea haki; wote wapo kimya. Maana yake Dr. Slaa kuondolewa hadhi ya ubalozi ni kumwondoa kwa wasiotetea nchi na kumrejesha kwa watetezi wa nchi.
Kwa wapenda haki wanapaswa kushangilia kwamba Dkt. Slaa amekabidhi cheo alichopewa kwa kurubuniwa na ambacho hakupewa kwa sababu Mungu amepanga bali alipewa na wanadamu. Cheo kile kilikuwa ni mzigo kwake, sasa rasmi amekitua na yupo tayari kuzeeka akiwa hana madaraka yenye doa.
Kanisa ndo lithibitishe kwa nini lilimvua Upadri?Tuthibitishie
Safi sana.Mzee Slaa namfahamu tangu 1995 na ninazifahamu sana Siasa zake na Wengi wenye mawazo huru wanamjua!
nakupa mfano mmoja tu
Slaa alipigania sana Katiba Mpya wakati wa Jakaya hadi kwa njia za kuchochea ghasia
alipoingia John Magufuli Mzee Slaa akasema Katiba mpya sio Muhimu, cha muhimu ni maji, Umeme na barabara
Alipoingia Samia Suluhu Hassan akaondolewa Ubalozini akaja na hoja za Katiba Mpya tena
hapo Wewe una uhuru wa kuamini anapigania Katiba mpya na mimi nina uhuru wa kuamini Katiba mpya ni kisingizio cha kubeba wenye average mind
Wewe endelea kuamini anapigania Bandari nami niruhusu niamini anapigania agenda yake na wenzie kwa kisingizio cha Bandari
Nikumbushe hata jambo moja alilopinga utawala wa JPM au utawala wa JPM haukuwa na jambo lolote la kukosolewa? hata Tundu Lissu alivyopigwa Risasi alisema kupigwa Risasi ni jambo la kawaida na ni michezo ya ndani ya Chadema.
Mwanasiasa kupigwa Risasi ni jambo la kawaida Tanzania?
hata Wewe naamini unaijua agenda inayomsukuma Slaa ila pengine mna share agenda ndio maana unajaribu kuzuga zuga na kuzunguka
kuwa na agenda binafsi ni jambo moja lakini kuchochea ghasia na vurugu Nchin hilo ni la wote na kama ingekuwa vurugu anazochochea zingeishia kuathiri familia yake na watu wake pekee ningepuuza kama si kupotezea lakini najua Mimi na watoto, wajukuu na Watanzania wema wengi hawana mbadala wa amani na ndio sababu hata awe nani akichochea ghasia tutashawishi Serikali imshughulikie nguvu zote hata kama ni za kuazima potelea mbali
Kanusha kwanza hoja zake alizozitoa dhidi ya Slaa sio kung'ang'aniza tu eti anapigania ...Mkuu Pohamba, Dr Slaa ananasimamilia
maslahi ya Taifa kama wewe. Tofouti zenu ni itikadi.
Alimlala mamio?Ana matatizo, alianza kuvuliwa upadri na kanisa kwa uzinzi
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuUjinga wenu wa "kichadema"
Ndio unaoendelea kufanya mnapuuzwa sababu ya ufinyu wa akili za wafuasi wa Chadema kama wewe!
Hivi kutetea rasilimali Ina maana maisha yako ni magumu?alipokuwa anasoma ule Msemo wa Fainali uzeeni alidhani lazima uwe mchezaji ?
wenzie tulipokuwa tunajenga familia zenye maadili na misingi ili tuje kuzeeka vyema yeye alijenga heshima kwny viuno vya makahaba …akidhani hatozeeka
HahaaaaKanisani kazingua
Ccm akazingua
Chadema akazingua
kwa Mke kazingua
kwa Kimada kazinguliwa Yeye
Ubalozi kazinguliwa
Huyu Jamaa kwa usaliti ana PhD, hata ule Mgomo wake wa kutokula akiwa mahabusu aliusaliti akaanza kula tena
na sasa na hadhi wa ubalozi pia wanampora
Mzee Mwenzangu kapaisha penalt dakika ya 89 na yupo nyuma kwa goli mbili