Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 270
- 362
Asante nyuma ya keyboard kuleta propaganda...Serikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa changamoto ya uhaba wa maji.
Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Morogoro alikaririwa akisema kuwa ndani ya mwaka mmoja mkoa wa Morogoro katika kiwango cha usambazaji wa maji umetoka 62% hadi 72%.
Kurahisha zoezi hilo, utoaji wa fedha hizo uliambatana na utoaji wa pikipiki kwa watumishi ili kuweza kutekeleza agizo la Serikali kwa weledi wa hali ya juu.
Umaskini huu unaweza hata kulamba kinyeshi cha mtu anayekutuma kueneza propaganda .Serikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa changamoto ya uhaba wa maji.
Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Morogoro alikaririwa akisema kuwa ndani ya mwaka mmoja mkoa wa Morogoro katika kiwango cha usambazaji wa maji umetoka 62% hadi 72%.
Kurahisha zoezi hilo, utoaji wa fedha hizo uliambatana na utoaji wa pikipiki kwa watumishi ili kuweza kutekeleza agizo la Serikali kwa weledi wa hali ya juu.
Mwanza tu penye Ziwa Victoria hakuna maji ya uhakika sembuse Morogoro? Acha propagandaSerikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa changamoto ya uhaba wa maji.
Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Morogoro alikaririwa akisema kuwa ndani ya mwaka mmoja mkoa wa Morogoro katika kiwango cha usambazaji wa maji umetoka 62% hadi 72%.
Kurahisha zoezi hilo, utoaji wa fedha hizo uliambatana na utoaji wa pikipiki kwa watumishi ili kuweza kutekeleza agizo la Serikali kwa weledi wa hali ya juu.
Wewe MÀTAGA siyo Serikali ya CCM tena!Serikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa changamoto ya uhaba wa maji.
Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Morogoro alikaririwa akisema kuwa ndani ya mwaka mmoja mkoa wa Morogoro katika kiwango cha usambazaji wa maji umetoka 62% hadi 72%.
Kurahisha zoezi hilo, utoaji wa fedha hizo uliambatana na utoaji wa pikipiki kwa watumishi ili kuweza kutekeleza agizo la Serikali kwa weledi wa hali ya juu.
Hivi adhabu kwa anayetukana hadharani ni miaka mingapi? Nilitamani nitoe "majitaka" kwa andiko lako hili kuhusu Morogoro ila kwa heshima ya jukwaa, umri nilionao na kwa kutokujua adhabu yake acha nijizuie ila lisemwalo ni uongo wa asilimia 102%Serikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa changamoto ya uhaba wa maji.
Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Morogoro alikaririwa akisema kuwa ndani ya mwaka mmoja mkoa wa Morogoro katika kiwango cha usambazaji wa maji umetoka 62% hadi 72%.
Kurahisha zoezi hilo, utoaji wa fedha hizo uliambatana na utoaji wa pikipiki kwa watumishi ili kuweza kutekeleza agizo la Serikali kwa weledi wa hali ya juu.
Shida yenu ndiyo hiyo, mkiponda nyie sio propaganda.Asante nyuma ya keyboard kuleta propaganda...
Hupingwi na mtu kwa kutoa maoni yako, kama ni uwongo nitashukuru sana kupata hoja sio maneno makavu.Hivi adhabu kwa anayetukana hadharani ni miaka mingapi? Nilitamani nitoe "majitaka" kwa andiko lako hili kuhusu Morogoro ila kwa heshima ya jukwaa, umri nilionao na kwa kutokujua adhabu yake acha nijizuie ila lisemwalo ni uongo wa asilimia 102%
Ndani ya Mwaka mmoja Morogoro imetoka 62% hadi 72% katika upatikanaji wa maji. Hadi 2030 unadhani hali itakuwaje?Mmeanza kampeni mapema naona.
Unauhakika hadi Matombo maji 100%
Utakuwepo wewe madarakani?Acheni huo, labda mseme hivyo mkiwa na maana hadi hio 2030 mtakuwa hampo madarakani wa kuwasuta hayupo, mwaka 1994 mlisema hadi kufika mwaka 2000 tatizo la maji litakuwa ni historia nchini. Leo tu kilometa 3 to ziwani Wana shida ya maji sembuse walio makilometa, ccm huwa inawaona watz wote ni kama watoto wa shule ya chekechea.
Zungumzia ishu ya uongo wao,wa kusogezasogeza miaka,maana walisema 2000 leo ni miaka 22 imepitaUtakuwepo wewe madarakani?
Morogoro wanafanya kazi kubwa sana RUWASAHongera timu Ruwasa Morogoro mnaupiga mwingi sana