Hadi 75% ya akili zetu ni za kurithi (hereditary): Maamuzi yako kwenye ndoa ndiyo yatakayohukumu vizazi vyako

No, genetic origins haiangalii mtu mmoja ama familia pekee, inaweza ikachukua hadi ukoo ama kabila. Unaweza kukuta wazazi wako hawakuwa na akili but ukawa na akili kwa sababu utakuwa umechukua aidha kwa wajomba ama shangazi.
Vilevile, wazazi wanaweza kuwa na akili nyingi ila mtoto akawa kilaza kwa sababu genes zinaweza kuwa determined na ndugu wa wazazi wa mmoja wa wazazi wako ambaye hakuwa na akili na hivyo kuathiri akili yako pia.
 
Vyovyote vile hoja yako bado ni dhaifu sana kwasababu inapingana na hoja kwamba mwanadamu ana uhuru wa kuchagua...
 
weweuna akili?
Mzee, yeye kujua tu kuwa, kuoana na mwenye akili ndio kipaumbele ama chaguo sahihi ni kiashiria cha akili za kimaisha (siyo necessarily za darasani). Ila amesema kitu sahihi, coz hakuna kitu cha furaha kama kuwa na watoto wanaofanya vyema katika masomo.
Fikiria mtoto (watoto) wako kila muhula (term) kuanzia darasa la Kwanza hadi la Saba, anatangazwa wa mwisho kwenye mitihani. Kutoka STD I - VII, ni jumla ya mihula 14, utaumizwa mihula yote hiyo.
Ukimpeleka sekondari Private, ataongeza mihula 08 ya kuwa wa mwisho, sawa na jumla ya mihula 22. Utasema una furaha gani hiyo? Ni mtazamo yetu though.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…