Hadi bajeti ya Tanzania, Uganda na Rwanda ziunganishwe ndio zifikie ya Kenya

Quality unayozungimza kuhusu ni ile ya milioni kumi pesa za mboga. Hapa hamna pa kutokea sisi ndio baba na mama ukanda huu.
 
Hii forum imepoteza uelekeo kabisa. Huu utani wa kadi umezidi kiasi unaboa. Nilipoona hii thread fasta nikaja kusoma, but commentors wapo kiushabiki. Stupid
 
saadeque ndio nashanga wanawika quality

Sports Kenya
Tuko
Rugby
Athletes
Hockey
Ice Hockey
Volleyball
Tanzania hawako

Tukienda power production we double them in our output

Kenya produces more sugar than all EAC combined
Tanzania wanapanga line kupata sukari


Ports yao hata haiko efficient

What is the quality this guy purports to have??
 
sam999, who told u Tanzania's budget support is 27%? It is 12% n as a matter of fact i don't see a difference btn Tanzania n Kenya that her donor support is 5% n has to take other hidden supports in form of loans from China to finance her budget! If u look deeply u find more than 12% of Kenya's budget is financed from overseas via loans n bonds. If i were u i wouldn't be bragging of such budget..
 
Nikitazama kwa undani naona mfano mzuri kuwa Kenya na Tanzania wanategemea ushuru na kodi zitokanazo na mitumba ya nguo / viatu . Hali hii inaonesha nchi hizi mbili wananchi wake hawazidiani kipato cha mtu mmoja mmoja.

Itapofika sema Tanzania watu hawavai mitumba kutokana na kuwa na viwanda vya ndani kuzalisha bidhaa bora au wanauwezo wa kuagiza nguo ready-made toka nje huku kina MK254 wanaendelea kuvaa mitumba hapo ndipo nitaona angalau nchi moja imeipita nyingine ktk hali halisi ya maisha.

Pia budget sio kigezo pekee (yardstick) cha kiuchumi kuonesha taifa wananchi wake wanaishi vizuri au kupata huduma za kijamii bora. Kuna nchi ndogo zilizo na budget ndogo kuliko USA, SPAIN, ITALY N.K lakini wanachi wake wana maisha bora pamoja na mapato kuliko nchi yenye uchumi mkubwa na budget kubwa kama USA.
 
Acha uongo mr..geza ua donor support is more than 30%...😀
 
Out of that Tz budget, 7bn(40%) ni miradi ya Maendeleo,!!!
That's good anyway!
 
Kenya inastahili hiyo bajeti na nje ya hapo ningewashangaa sana hao mungiki. Hata ki maendeleo ya viwanda Kenya walitangulia kabla yetu Tz kwa kiasi fulani, sasa msipoipandisha bajeti yenu hivyo viwanda mtavileaje? Ama hamuelewi hata hizo hesabu ndogo ndogo mpaka mfundishwe? si tu kwamba mna bajeti kubwa bali ni kwasababu mnalazimika iwe hivyo hata kama hamtaki. Ni sawa na familia mbili moja ina watoto 5 na nyingine ina watoto 2 alafu eti wakati wa bajeti yule mwenye watoto 5 anamcheka mwenye watoto 2 eti kisa bajeti zao hazilingani. Unaweza ukawa huna akiri ndo ucheke jirani yako, ntakuuliza, ukitaka kuweka bajeti ndogo kama yangu hao wanao 5 utawalisha nini? je unafikiri hiyo bajeti yako ni hiari ama inakulazimu?
 
Nakisi kwenye bajeti sio ishu sana kozi kama deni ni himilivu manake nchi inakopesheka kufidia nakisi.Kama hiyo haitoshi deni la Taifa halina direct impact kwenye uchumi ikizingatiwa linalipwa across several generations so ni rational kukopa kwa ku invest kwenye miundombinu kama Kenya so hii sio point. Ukweli ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa sana kulinganisha na Tzn,mbaya zaidi sehemu kubwa ya teknology kwenye nyanja nyingi hasa kilimo tunajifunza kenya na ndio tunawategemea kwa mazao ghafi kwa sasa
 
On top of that kuhusu ufanisi kwenye utekelezaji wa bajeti,sijui kwa Kenya watuwekee taarifa kwa mwenye nayo lakini kwa upande wa Tzn,takwimu za serikali kwa bajeti zote zilizopita zinaonyesha utekelezaji ni chini ya 55%,rejea hotuba za bajeti mbadala ya upinzani,mbaya zaidi hatujafika hata 40% ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa miaka 5.Kwa utaratibu huu hatufiki popote na ccm,tuna marktime tutawezaje kuwafikia na kuwapita Kenya kwa mwendo huu?
 
Y
Yaani ni povu tu ...ndo maana unatusi wakenya wote.
 
My friend, I hope you know that Tz has a larger population and bigger land mass than Kenya.
 
So, please tell me. 100% of Tzs budget is accounted for?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…