Hadi bajeti ya Tanzania, Uganda na Rwanda ziunganishwe ndio zifikie ya Kenya

We Towashi wa 2, hebu nipe elimu yako kwanza? Eti Tanzania inawategemea Kenya kwa mazao ghafi, unaweza kuleta ushahidi wa unachosema! Kenya hii yenye njaa kila mwaka?
Tz mtasonga pakubwa mking'oa hiyo kanu yenu.....yani ccm.huyu mganga wa chato ni mateka wa chama hicho.kalemewa na mwenge na huku anadai kubana matumizi.
Lazima ajenge institutions sio kushtukiza kila jambo.one man army kwa nchi ni uchawi.nao wana ccm hawatalikubali hili maana itawanyima mahala pakumbana.
 
Kwa hiyo wewe Geza kati ya pointi zote nimeandika wewe umeiona hiyo tuu? Hata hivyo hujaelewa uwe unapunguza mihemko ya ligi then unatuliza akili unasoma,namaanisha soko kubwa la farm produce zetu ni Kenya,nenda Tantrade,wizara ya viwanda etc utapata hizi takwimu sioti.Elimu yangu ni fm 1,una hoja nyingine? Tusiposema ukweli nchi haitasonga na tutaendelea kudanganywa na ccm miaka na miaka
 
Huyu kaka...eh.geza atakufurusha humu.hakupi mda upumue.heri Mk254 alikuwa ana huruma nawe huyu ni piga ua..😀😀😱
 
Kwa hiyo wewe Geza kati ya pointi zote nimeandika wewe umeiona hiyo tuu? Hata hivyo hujaelewa uwe unapunguza mihemko ya ligi then unatuliza akili unasoma,namaanisha soko kubwa la farm produce zetu ni Kenya,nenda Tantrade,wizara ya viwanda etc utapata hizi takwimu sioti.Elimu yangu ni fm 1,una hoja nyingine? Tusiposema ukweli nchi haitasonga na tutaendelea kudanganywa na ccm miaka na miaka
I don have anything against you lakini kila thread inayoizungumzia Tanzania ,wewe huwa na mitazamo hasi tuuuu hadi imekuwa rahisi kwangu kukukariri..

guess your hatred is beyond limits kwa nchi yako....
Lakini yakupasa ujue kuwa nchi yako inaendelea kwa kasi na mambo mengi yanaenda vyema hivyo,wapaswa kuwa sehemu ya maendeleo (namaanisha hata maendeleo kifikra)
 
Kenya ni jirani yetu na kama huko ni kuzuri kama wanavyosema, tutamiminika kama maji ya mto Nile kwenda miji mbalimbali kama Kisumu, Nakuru, Eldoret, Kakamega, Mombasa na Nairobi. Kila anayekaa karibu na ua waridi, hunukia vizuri. So no problem if Kenya is doing better than Tanzania.
 
Tz mtasonga pakubwa mking'oa hiyo kanu yenu.....yani ccm.huyu mganga wa chato ni mateka wa chama hicho.kalemewa na mwenge na huku anadai kubana matumizi.
Lazima ajenge institutions sio kushtukiza kila jambo.one man army kwa nchi ni uchawi.nao wana ccm hawatalikubali hili maana itawanyima mahala pakumbana.

wewe kenge hujui kitu kuhusu siasa pande hii, hujui mwenge unahusu nini, hujui kwanini chato pamechaguliwa kuwekwa kiwanja pale, sababu ni kufurika kwa maji uwanja wa mwanza kipindi cha mvua, na ni plan ilikuwepo kabla hajawa raisi, na sio one man army, kusingekuwepo na ministers u know, na uchaguzi ukifanyika sasa hivi atashinda mara dufu, kwa iyo plz wacheni wivu na kubonga sana kuhusumambo huna idea nayo, ni ufara high grade u know, makes one puke
 
I don have anything against you lakini kila thread inayoizungumzia Tanzania ,wewe huwa na mitazamo hasi tuuuu hadi imekuwa rahisi kwangu kukukariri..

guess your hatred is beyond limits kwa nchi yako....
Lakini yakupasa ujue kuwa nchi yako inaendelea kwa kasi na mambo mengi yanaenda vyema hivyo,wapaswa kuwa sehemu ya maendeleo (namaanisha hata maendeleo kifikra)
Yaani unataka aimbe wimbo wa ccm ndo awe mzalendo.usipo onyeshwa mahala unakosea huwezi jirekebisha.

Misimamo tofauti ni demokrasia uliza geza yeye ni shabiki mkuu wa blogger Alai,na huyu ni mkashifu mkuu wa serikali so hapana toa povu ovyo.
 
Kenya inastahili hiyo bajeti na nje ya hapo ningewashangaa sana hao mungiki. Hata ki maendeleo ya viwanda Kenya walitangulia kabla yetu Tz kwa kiasi fulani, sasa msipoipandisha bajeti yenu hivyo viwanda mtavileaje? Ama hamuelewi hata hizo hesabu ndogo ndogo mpaka mfundishwe? si tu kwamba mna bajeti kubwa bali ni kwasababu mnalazimika iwe hivyo hata kama hamtaki. Ni sawa na familia mbili moja ina watoto 5 na nyingine ina watoto 2 alafu eti wakati wa bajeti yule mwenye watoto 5 anamcheka mwenye watoto 2 eti kisa bajeti zao hazilingani. Unaweza ukawa huna akiri ndo ucheke jirani yako, ntakuuliza, ukitaka kuweka bajeti ndogo kama yangu hao wanao 5 utawalisha nini? je unafikiri hiyo bajeti yako ni hiari ama inakulazimu?

Duh hii mada itadhihirisha elimu duni ya Tanzania. Hivi unafahamu Tanzania ina idadi kubwa ya watu zaidi ya Kenya, ina idadi kubwa ya ardhi zaidi ya Kenya, idadi kubwa ya madini zaidi ya Kenya naweza nikaandika kutabu kuorodhesha fursa mlizonazo hadi ushangae.

Tatizo lenu kubwa ni uvivu, wivu, majungu, ushirikina, elimu duni, na Uswahili mwingi wenye maisha ya kiujanja janja na utepetevu.
 
wewe kenge hujui kitu kuhusu siasa pande hii, hujui mwenge unahusu nini, hujui kwanini chato pamechaguliwa kuwekwa kiwanja pale, sababu ni kufurika kwa maji uwanja wa mwanza kipindi cha mvua, na ni plan ilikuwepo kabla hajawa raisi, na sio one man army, kusingekuwepo na ministers u know, na uchaguzi ukifanyika sasa hivi atashinda mara dufu, kwa iyo plz wacheni wivu na kubonga sana kuhusumambo huna idea nayo, ni ufara high grade u know, makes one puke
Huyu jamaa anaifanya bongo kaa N korea na bado unashabikia kijinga.huyu ni dikteta in making haswa ndugu wa Amin.

Mwishowe atajenga kambi ya kijeshi shambani mwake.asisahau kuwajengea wanachato hospitali.
 
Yaani unataka aimbe wimbo wa ccm ndo awe mzalendo.usipo onyeshwa mahala unakosea huwezi jirekebisha.

Misimamo tofauti ni demokrasia uliza geza yeye ni shabiki mkuu wa blogger Alai,na huyu ni mkashifu mkuu wa serikali so hapana toa povu ovyo.
Usidhani kila mtanzania ni mwanasiasa..mimi siijihusishi na chama chochote

Nimeamua kumueleza kwa kuwa kila mara yupo negative kuhusu nchi yake..je ,Tanzania haina lolote jipya ama jema ?????.....

je,wakenya hamna mabaya yenu ?????.... kama yapo je,hii inampa mkenya haki ya kuwa negative always kwa nchi yake ????....

By the way,huijui Tanzania kuliko niijuavyo maana si ajabu mkenya kuiongelea Tanzania vibaya na wakati hajawahi hata kutilia mguu wake tz na mbaya zaidi hata kuishi na watanzania..
 
Kenyan embassies on the spot over missing Sh767 million visa income

Sh608 billion of Kenya budget lost to corruption every year - EACC chairman Kinisu

Cash amounting to Sh1 billion ‘missing’ in Lands ministry, says audit report

Up to Sh1.4b was stolen in NYS scandal, new audit now reveals

Kweli Wakenya matumizi yenu yapo juu sana. Nashangaa sana kufurahia kuwa na budget kubwa. Wakati Budget hiyo ni matumizi ya serikali.

Ningependa kujua mchanganuo wa bugdet hizo. Ninavyojua hapa Tanzania 40% ya pesa zote kwenye budget zinaenda kwenye shughuli za maendeleo. Na zile 60% ni kwa kazi zingine za serikali.

Naomba kujua mchanganuo wa budget ya kenya.
 
Tanzania tulikuwa tumelala jamani, Kenya wapo juu, there is no debating on that, but Kenya kuweni makini kwa kuwa nchi yenu imegawanyika kimakundi sana, sio kwenye utajiri, sio kwenye siasa, sio kwenye ukabila,
good luck to us all...tunapeana changamoto ili tupige hatua zaidi ushitikiano ni muhimu
 
Tz mtasonga pakubwa mking'oa hiyo kanu yenu.....yani ccm.huyu mganga wa chato ni mateka wa chama hicho.kalemewa na mwenge na huku anadai kubana matumizi.
Lazima ajenge institutions sio kushtukiza kila jambo.one man army kwa nchi ni uchawi.nao wana ccm hawatalikubali hili maana itawanyima mahala pakumbana.
kusonga mbele sio chama, bali ni wananchi kujituma na kujipatia maarifa bora, japo uongozi bora ni muhimu, sidhani kama Kenya viongozi wake ni bora na wenye busara kuliko wa Tanzania
 
Duh hii mada itadhihirisha elimu duni ya Tanzania. Hivi unafahamu Tanzania ina idadi kubwa ya watu zaidi ya Kenya, ina idadi kubwa ya ardhi zaidi ya Kenya, idadi kubwa ya madini zaidi ya Kenya naweza nikaandika kutabu kuorodhesha fursa mlizonazo hadi ushangae.

Tatizo lenu kubwa ni uvivu, wivu, majungu, ushirikina, elimu duni, na Uswahili mwingi wenye maisha ya kiujanja janja na utepetevu.
Ninakubaliana nawe kuwa Sisi ni wavivu ,washirikina na illiterates haswaaaa ........

hivyo,yaorodheshe na ya wakenya kama waweza ili nikuone kuwa wewe ni mchambuzi boraa wa masuala haya
 
yeah Tanzania has a larger potential than Kenya, it's good to challenge us but don't be arrogant pal, Kenya mna changamoto kubwa sana sasa hivi, kwenye mgawanyo wa mali, ethnicity, siasa, ugaidi n.k... jirani yako akiendelea ni kitu kizuri kwako sababu hata fursa za kiuchumi zinaongezeaka kwa wote, so slack the attitude
 
Kugawanyikana kimakundi ni jambo la kawaida dunia hii, mimi husema siku zote kuna makundi mawili dunia hii. Walalahoi na walionacho. Hata hiyo Tanzania mnayoinadi kama kielelezo cha umoja utakuta kwa mtu mwenye jicho la tatu atawaumbua tu.
Huwa nafuata sana mada zenu za kisiasa, angalia kwenye ajira za kazi kama pale BoT watu wanapigiana simu baina yao.
 
Ninakubaliana nawe kuwa Sisi ni wavivu ,washirikina na illiterates haswaaaa ........

hivyo,yaorodheshe na ya wakenya kama waweza ili nikuone kuwa wewe ni mchambuzi boraa wa masuala haya

Kenya tuna mapungufu kweli, lakini moja ambayo hatuwezi dhubutu ni uvivu, hilo tukithubutu tutaisha maana nchi yetu ni ndogo na nusu yake ni jangwa. Hivyo lazima tujitume na kujikumbushia hatari iliyo nyuma yetu. Hata kwa mabomu ya alshabaab bado tunapeta tu.
 
Back
Top Bottom