Tz mtasonga pakubwa mking'oa hiyo kanu yenu.....yani ccm.huyu mganga wa chato ni mateka wa chama hicho.kalemewa na mwenge na huku anadai kubana matumizi.We Towashi wa 2, hebu nipe elimu yako kwanza? Eti Tanzania inawategemea Kenya kwa mazao ghafi, unaweza kuleta ushahidi wa unachosema! Kenya hii yenye njaa kila mwaka?
Huyu kaka...eh.geza atakufurusha humu.hakupi mda upumue.heri Mk254 alikuwa ana huruma nawe huyu ni piga ua..😀😀😱Kwa hiyo wewe Geza kati ya pointi zote nimeandika wewe umeiona hiyo tuu? Hata hivyo hujaelewa uwe unapunguza mihemko ya ligi then unatuliza akili unasoma,namaanisha soko kubwa la farm produce zetu ni Kenya,nenda Tantrade,wizara ya viwanda etc utapata hizi takwimu sioti.Elimu yangu ni fm 1,una hoja nyingine? Tusiposema ukweli nchi haitasonga na tutaendelea kudanganywa na ccm miaka na miaka
I don have anything against you lakini kila thread inayoizungumzia Tanzania ,wewe huwa na mitazamo hasi tuuuu hadi imekuwa rahisi kwangu kukukariri..Kwa hiyo wewe Geza kati ya pointi zote nimeandika wewe umeiona hiyo tuu? Hata hivyo hujaelewa uwe unapunguza mihemko ya ligi then unatuliza akili unasoma,namaanisha soko kubwa la farm produce zetu ni Kenya,nenda Tantrade,wizara ya viwanda etc utapata hizi takwimu sioti.Elimu yangu ni fm 1,una hoja nyingine? Tusiposema ukweli nchi haitasonga na tutaendelea kudanganywa na ccm miaka na miaka
Tz mtasonga pakubwa mking'oa hiyo kanu yenu.....yani ccm.huyu mganga wa chato ni mateka wa chama hicho.kalemewa na mwenge na huku anadai kubana matumizi.
Lazima ajenge institutions sio kushtukiza kila jambo.one man army kwa nchi ni uchawi.nao wana ccm hawatalikubali hili maana itawanyima mahala pakumbana.
Yaani unataka aimbe wimbo wa ccm ndo awe mzalendo.usipo onyeshwa mahala unakosea huwezi jirekebisha.I don have anything against you lakini kila thread inayoizungumzia Tanzania ,wewe huwa na mitazamo hasi tuuuu hadi imekuwa rahisi kwangu kukukariri..
guess your hatred is beyond limits kwa nchi yako....
Lakini yakupasa ujue kuwa nchi yako inaendelea kwa kasi na mambo mengi yanaenda vyema hivyo,wapaswa kuwa sehemu ya maendeleo (namaanisha hata maendeleo kifikra)
Kenya inastahili hiyo bajeti na nje ya hapo ningewashangaa sana hao mungiki. Hata ki maendeleo ya viwanda Kenya walitangulia kabla yetu Tz kwa kiasi fulani, sasa msipoipandisha bajeti yenu hivyo viwanda mtavileaje? Ama hamuelewi hata hizo hesabu ndogo ndogo mpaka mfundishwe? si tu kwamba mna bajeti kubwa bali ni kwasababu mnalazimika iwe hivyo hata kama hamtaki. Ni sawa na familia mbili moja ina watoto 5 na nyingine ina watoto 2 alafu eti wakati wa bajeti yule mwenye watoto 5 anamcheka mwenye watoto 2 eti kisa bajeti zao hazilingani. Unaweza ukawa huna akiri ndo ucheke jirani yako, ntakuuliza, ukitaka kuweka bajeti ndogo kama yangu hao wanao 5 utawalisha nini? je unafikiri hiyo bajeti yako ni hiari ama inakulazimu?
Huyu jamaa anaifanya bongo kaa N korea na bado unashabikia kijinga.huyu ni dikteta in making haswa ndugu wa Amin.wewe kenge hujui kitu kuhusu siasa pande hii, hujui mwenge unahusu nini, hujui kwanini chato pamechaguliwa kuwekwa kiwanja pale, sababu ni kufurika kwa maji uwanja wa mwanza kipindi cha mvua, na ni plan ilikuwepo kabla hajawa raisi, na sio one man army, kusingekuwepo na ministers u know, na uchaguzi ukifanyika sasa hivi atashinda mara dufu, kwa iyo plz wacheni wivu na kubonga sana kuhusumambo huna idea nayo, ni ufara high grade u know, makes one puke
Usidhani kila mtanzania ni mwanasiasa..mimi siijihusishi na chama chochoteYaani unataka aimbe wimbo wa ccm ndo awe mzalendo.usipo onyeshwa mahala unakosea huwezi jirekebisha.
Misimamo tofauti ni demokrasia uliza geza yeye ni shabiki mkuu wa blogger Alai,na huyu ni mkashifu mkuu wa serikali so hapana toa povu ovyo.
kusonga mbele sio chama, bali ni wananchi kujituma na kujipatia maarifa bora, japo uongozi bora ni muhimu, sidhani kama Kenya viongozi wake ni bora na wenye busara kuliko wa TanzaniaTz mtasonga pakubwa mking'oa hiyo kanu yenu.....yani ccm.huyu mganga wa chato ni mateka wa chama hicho.kalemewa na mwenge na huku anadai kubana matumizi.
Lazima ajenge institutions sio kushtukiza kila jambo.one man army kwa nchi ni uchawi.nao wana ccm hawatalikubali hili maana itawanyima mahala pakumbana.
Ninakubaliana nawe kuwa Sisi ni wavivu ,washirikina na illiterates haswaaaa ........Duh hii mada itadhihirisha elimu duni ya Tanzania. Hivi unafahamu Tanzania ina idadi kubwa ya watu zaidi ya Kenya, ina idadi kubwa ya ardhi zaidi ya Kenya, idadi kubwa ya madini zaidi ya Kenya naweza nikaandika kutabu kuorodhesha fursa mlizonazo hadi ushangae.
Tatizo lenu kubwa ni uvivu, wivu, majungu, ushirikina, elimu duni, na Uswahili mwingi wenye maisha ya kiujanja janja na utepetevu.
yeah Tanzania has a larger potential than Kenya, it's good to challenge us but don't be arrogant pal, Kenya mna changamoto kubwa sana sasa hivi, kwenye mgawanyo wa mali, ethnicity, siasa, ugaidi n.k... jirani yako akiendelea ni kitu kizuri kwako sababu hata fursa za kiuchumi zinaongezeaka kwa wote, so slack the attitudeDuh hii mada itadhihirisha elimu duni ya Tanzania. Hivi unafahamu Tanzania ina idadi kubwa ya watu zaidi ya Kenya, ina idadi kubwa ya ardhi zaidi ya Kenya, idadi kubwa ya madini zaidi ya Kenya naweza nikaandika kutabu kuorodhesha fursa mlizonazo hadi ushangae.
Tatizo lenu kubwa ni uvivu, wivu, majungu, ushirikina, elimu duni, na Uswahili mwingi wenye maisha ya kiujanja janja na utepetevu.
yeah Tanzania has a larger potential than Kenya, it's good to challenge us but don't be arrogant pal, Kenya mna changamoto kubwa sana sasa hivi, kwenye mgawanyo wa mali, ethnicity, siasa, ugaidi n.k... jirani yako akiendelea ni kitu kizuri kwako sababu hata fursa za kiuchumi zinaongezeaka kwa wote, so slack the attitude
Ninakubaliana nawe kuwa Sisi ni wavivu ,washirikina na illiterates haswaaaa ........
hivyo,yaorodheshe na ya wakenya kama waweza ili nikuone kuwa wewe ni mchambuzi boraa wa masuala haya