Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Mkuu MK254 nisaidie kitu kimoja, katika hiyo $22.62b pesa ya maendeleo ni kiasi gani? Maana isijekuwa pesa yote inaishia kupambana na Al Shabaab.Duh hii mada itadhihirisha elimu duni ya Tanzania. Hivi unafahamu Tanzania ina idadi kubwa ya watu zaidi ya Kenya, ina idadi kubwa ya ardhi zaidi ya Kenya, idadi kubwa ya madini zaidi ya Kenya naweza nikaandika kutabu kuorodhesha fursa mlizonazo hadi ushangae.
Tatizo lenu kubwa ni uvivu, wivu, majungu, ushirikina, elimu duni, na Uswahili mwingi wenye maisha ya kiujanja janja na utepetevu.
Mkuu MK254 nisaidie kitu kimoja, katika hiyo $22.62b pesa ya maendeleo ni kiasi gani? Maana isijekuwa pesa yote inaishia kupambana na Al Shabaab.
siwezi kuwakejeli kwa lile mnaloliona lipo jema ninyi kulifikiria kwa kuwa hata mkenya wa kibera anajiona yuko juu kuliko mtanzania wa masaki !!!!!.......Kenya tuna mapungufu kweli, lakini moja ambayo hatuwezi dhubutu ni uvivu, hilo tukithubutu tutaisha maana nchi yetu ni ndogo na nusu yake ni jangwa. Hivyo lazima tujitume na kujikumbushia hatari iliyo nyuma yetu. Hata kwa mabomu ya alshabaab bado tunapeta tu.
Heehhe... Tz has a bigger population and a higher poverty level by population percentage...so,whose better?Mkuu usibushane na Wakenya wajinga. Kenya wanatenga bajeti kubwa ilikupiga dili na sio mambo ya maendeleo, hela nyingi hapo inaenda kwa wabunge, mawaziri na miradi iliyokua overpriced kama ushahidi livyo sgr na mradi wa airport green field. Changamoto kubwa kwa nnchi za afrika ni ubadhirifu uliokithiri kama bageti ni maendeleo nigeria wangekua mbali sana. Pamoja na hiyo bajeti yao na si leo kenya wanabajeti kubwa kuliko Tanzania lakini angalia maisha ya wakenya wengi ni mabovu kupindukia wanatatizo kubwa sana la ajira, njaa yaani wanapigika nje ndani. Wakenya ni hohehahe wakutupa, wewe huoni wamapiga sana kelele juu ya Tanzania work permit. Kifupi ni kua wakenya wengi wanaishi kama vipepeo.
Ndo umesemaje hapa make malikia naye tabu tupuMy friend, I hope you know that Tz has a larger population and bigger land mass than Kenya.
Sijasema sisi tupo perfect, nepotism na rushwa ipo kila mahali Africa, hata hadi ulaya ipo...ila Kenya? Kenya mmezidi kidogoKugawanyikana kimakundi ni jambo la kawaida dunia hii, mimi husema siku zote kuna makundi mawili dunia hii. Walalahoi na walionacho. Hata hiyo Tanzania mnayoinadi kama kielelezo cha umoja utakuta kwa mtu mwenye jicho la tatu atawaumbua tu.
Huwa nafuata sana mada zenu za kisiasa, angalia kwenye ajira za kazi kama pale BoT watu wanapigiana simu baina yao.
Acha uongo wewe "On the externally financed expenditure, we have received commitments from donors amounting to Ksh 410.6 billion (5.6 percent of GDP) in FY 2016/17" (18.15% of your budget). Angalia hapa ukurasa wa 7 http://www.treasury.go.ke/downloads...for-the-fy-2016-17-and-supporting-informationThe pride you had wen putting up a thread on how USAID was giving Tanzania 800mn$!!!
FYI Kenya's budget is 100% donor free since 2007
Tanzania is 27% mkikasirisha wazungu hamtakula ugali!!!
We unakichaa tanzania watu wanaoishi kwenye umasikini ni chini ya milioni kumi na mbili. Kenya zaidi ya 40% watuwanaishi kwenye uumasikini wa kutisha. Chakula ni shida ndio maana wakenya wengi wanasura mbaya na weusi, na nademu zenu kama wanaume kwa kula sukuma wiki. Infact, mnapigika vibaya kama hali yenu ni nzuri iwaje manalazimisha kua tanzania.Heehhe... Tz has a bigger population and a higher poverty level....so,whose better?
Sijui kaa unamwongelea lowassa lakini kama ni yeye basi huyo ni mtulivu sana liganisha na upinzani wa hapa.Adui wa maendeleo ya watz ni hili jini nyonya damu lisilotaka kuachia nchi hata kama limeshindwa bali linajiona lenyewe ndo lenye hati miliki ya kuwaongoza Watz
Woi... Stop talking about your dreams.. More than half of Tzs leave below the poverty line... Your GDP per capita speaks for itself.We unakichaa tanzania watu wanaoishi kwenye umasikini ni chini ya milioni kumi na mbili. Kenya zaidi ya 40% watuwanaishi kwenye uumasikini wa kutisha. Chakula ni shida ndio maana wakenya wengi wanasura mbaya na weusi, na nademu zenu kama wanaume kwa kula sukuma wiki. Infact, mnapigika vibaya kama hali yenu ni nzuri iwaje manalazimisha kua tanzania.
Yaani kwa mchango wako tu umeonesha Utz wako na ni mshabiki wa chama chakavuWe unakichaa tanzania watu wanaoishi kwenye umasikini ni chini ya milioni kumi na mbili. Kenya zaidi ya 40% watuwanaishi kwenye uumasikini wa kutisha. Chakula ni shida ndio maana wakenya wengi wanasura mbaya na weusi, na nademu zenu kama wanaume kwa kula sukuma wiki. Infact, mnapigika vibaya kama hali yenu ni nzuri iwaje manalazimisha kua tanzania.
Ni kweli maana Lowasa ndo kavuluga akili za watz hadi tunatamka mambo ambayo hatuna uwezo wa kuyatimiza ili mradi tuendelee kuwanyonya WadanganyikaSijui kaa unamwongelea lowassa lakini kama ni yeye basi huyo ni mtulivu sana liganisha na upinzani wa hapa.
Woi... Stop talking about your dreams.. More than half of Tzs leave below the poverty line... Your GDP per capita speaks for itself.
Yaani kwa mchango wako tu umeonesha Utz wako na ni mshabiki wa chama chakavu
My friend... Have I talked of it being felt by every Kenyan??Yaani wewe ni pimbi, ndio elimu mnayopiga nayo kelele? Gdp per capita is simply arithmetic, ni mjinga tu kama wewe anyefikiria ya kila mwananchi anapata hiyo figure huko kwenu kenya. Kweli nyinyi ni mihogo.
My friend... Have I talked of it being felt by every Kenyan??
You really need to budget for your education sector. There are so many Tz children coming to study in Kenya. And judging by how you speak, I understand why.