Hadi bajeti ya Tanzania, Uganda na Rwanda ziunganishwe ndio zifikie ya Kenya

Kenya leads region in construction projects
Share this story:
China Road and Bridge Corporation workers use cranes to lay T-beams over the Standard Guage Railway line at Kyulu Bridge flyover near Mtito Andei. SGR is Kenya‘s biggest infrastructure project. [PHOTO: GIDEON MAUNDU/STANDARD]
Kenya leads the East African region in terms of mega construction projects. The country has 20 ongoing large projects followed by Ethiopia at 12.
East Africa holds 20 per cent of all construction projects in Africa and 15 per cent in dollar value at $57.5 billion (Sh 5.8 trillion) in 2015, which is a slight fall from $60.7 billion (Sh6.2 trillion) in 2014.
Basic infrastructure projects, transport and energy, are top on the Kenyan development agenda, with transport taking the lion's share of 51 per cent and energy at 30 per cent.
The figures were released yesterday by consultancy firm Deloitte East Africa in a report titled Africa Construction Trends 2015.
Kenya's standard railway project (SGR) is the fourth most expensive project in the region, gobbling up $3.8 billion (Sh386 billion at current rates), with Tanzania's port at Bagamoyo coming top at a cost of $11 billion (Sh1.119 trillion).
The report also indicates Kenya is experiencing growth in the retail sector, where hotel space, modern office parks, entertainment and lifestyle facilities are experiencing a boom due to expansion of towns and cities and a growing middle class.
East African projects are predominantly financed by International Development Finance Institutions (DFIs), followed by funding from the governments.
Local firms are involved in the construction of 36 per cent of these projects, followed by China at 21 per cent. It is therefore not surprising that 85 per cent of the projects are in the public domain, 13 per cent in private-public partnerships and 2 per cent in the private domain.
"Big international financiers are favouring Kenya as a destination for their investment, among other countries in the region," said Mark Smith, Head of Infrastructure and Capital Projects, Deloitte East Africa. "...this interest might however plummet given the uncertainties surrounding the next election, and the current global liquidity issues."
The report cites donors previously preferred to fund projects with a social impact, channeling their funds through Non-Governmental Organisations (NGOs), but now are more inclined to fund projects that have a purely economic end.
Ethiopia continues to be hot on Kenya's heels as the regional economic powerhouse, with its rapid growth engineered by mega infrastructure projects attracting investors who traditionally preferred Kenyan shores to Addis Ababa.
However, Ethiopia's lack of a rejuvenated middle class, unlike Kenya, and a closed currency due to its past protectionist policies make it lag behind Kenya in development, the report indicates.
Download Free Standard Digital News App for faster news updates, alerts and live videos
Share this story:
Comment Policy
Business
Home / Business
By Lee Mwiti | Thursday, Feb 18th 2016 at 00:00






-----------
infrastructure bado tuko, hata Ethiopia ambao wako more likely to overtake Kenya if Kenya sleeps bado hawatoshi mboga .
 
about the same report from another article

Transport infrastructural development took up 51 percent of projects, energy and power took 30 percent, water took 8 percent while social development took 4 percent according to the Africa Construction Trends report.
Of the projects, 36 per cent of the construction was fully funded by governments where foreign contractors were implementing them, followed by China. ...

'-------
of the mega infrastructure project..... Kenya leads with 33% of the project followed by Ethiopia with approx 20%..... leaving 37% to be shared among Tanzania and Uganda ....+Rwanda
 
Tatizo tanzania hatufikiri tunachopenda ni copy and paste lakini tunasahau not everything can be copied and pasted serekali yetu inastahili ikae itulie ifikirie inakotaka kuelekea. Mind you itafikia point ambayo kila MTU ataanza ujambazi. 'Eti BUDGET' Budget gani isiojua kutizama hali ya wananchi? Ndio ni sahihi kupandisha kodi katika vitu vya anasa visivo kuwa vya msingi basi hata vyakula? Naona sasa tuanze kula Lami na mchanga miti nyasi na vingine. Serekali yetu inasahau kuna watu wenye kipato cha chini ya dola moja kwa siku je, hiyo the so called serekali ya kuitetea mwananchi iko wapi wakati inaunda budget? Au ndio ile mishahara inayoongezwa ndio inachukuliwa kimtindo??? Vitu vingine sio vya kuiga Bali ni kuvifikiri na kutizama hali halisi then one should take actions accordingly. Na swala LA sukari bado linatatuliwa tu??? Haya tuanze mazoezi ya kunywa chai ya chumvi au tukorogee mchanga. Hehehe
 

Hivi wewe ulienda shule kusoma ama kunya? Nchi ndogo yenye bajeti ndogo kushinda Marekani ni tofauti na nchi ndogo yenye bajeti kubwa kushinda Tanzania. Kuna kitu inaitwa per capita, google hilo neno alafu uje upige domo.
 
Hivi wewe ulienda shule kusoma ama kunya? Nchi ndogo yenye bajeti ndogo kushinda Marekani ni tofauti na nchi ndogo yenye bajeti kubwa kushinda Tanzania. Kuna kitu inaitwa per capita, google hilo neno alafu uje upige domo.
Soma vizuri, kuwa na bajeti kubwa siyo kigezo pekee cha wananchi wake kuwa na maisha mazuri. Ndiyo maana narudia hakuna tofauti kubwa kimaisha kati ya wananchi wa Tanzania na Kenya hivyo hizi kelele zenu hazina maana.

Mfano Hakuna m-Ethiopia mkimbizi wa kiuchumi anataka kukaa Kenya ndiyo maana wanaelekea South Afrika kupitia Kenya au vijana wenye nguvu zao wa- Eritrea / Watanzania /Wa-Uganda n.k wenye kutafuta maisha wote wanaelekea nchi zingine siyo Kenya sababu kuu ni kuwa hakuna tofauti kubwa kimaisha hilo lazima ukubali.
 
Wanajamvi heshima sana.

Naomba tujikite katika hoja kwanza badala ya kukimbuilia kurushiana madongo pasipo sababu za msingi.

Ni kweli bajeti ya Kenya ni kubwa ukilinganisha na nchi zote za Afrika Mashariki.Hilo halina ubishi hata kidogo.Kenya ina uchumi mkubwa ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki.

Wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki inafufuliwa tena na Marais Ali Hassan Mwinyi wa Tanzania,Daniel Arap Moi wa Kenya na Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda bajeti ya Kenya ilikuwa kubwa mara nne zaidi ya bajeti ya Tanzania.Kenya ilikuwa ikiuza bidhaa katika soko la EC huku nchi nyingine zikibaki kama soko la bidhaa za Kenya,ukiangalia sekta ya utalii Kenya ilikuwa ikipokea watalii mara mbili hadi tatu zaidi ya watalii walikuokuja Tanzania.Kwa ujumla kila sekta Kenya ilikuwa imetawala na kuziacha nchi nyingine mbali sana.

Bajeti ya mwaka 2016/17 pengo baina ya Kenya na Tanzania limezidi kupungua sana,bajeti ya Kenya ni 22.62 bilion na Tanzania 13.51 bilion dollar ya USA. Ukitazama hili pengo ni U$ 9 billion litazidi kupunguzwa kila mwaka mfano tukichukua sekta ya gas pekee yake inatarajiwa kuingiza taifa zaidi ya u$ 2.5 billion kila mwaka.Usafirisha wa mafuta ya Uganda unatarajiwa kuliingizia taifa (Tanzania) u$ 1.022 billion hapo bado sijaguza mipango ya Tanzania kuuza umeme nje ya nchi na sekta ya utalii inayotarajiwa kukua hadi kufikia watalii 2 million.Kenya bado ina kimbembe cha Alshabab bajeti yake itajikita zaidi katika masuala ya ulinzi na usalama.Isitoshe mradi wake wa Lapsset uliobuniwa na Rais Kenyatta upo katika hali mbaya baada ya nchi washirika katika maradi huo kuukimbia.Mfano Ethiopia imekimbilia Djibuti,Uganda,Rwanda na Congo DRC zimetorokea Tanzania ambayo ina ukomavu wa siasa ukilinganisa na Kenya inayotarajiwa kufanya uchaguzi wake 2017.

Naomba kuwasilisha kwa mjadala wa afya na hoja zenye maana si viroja.
 

blaza wewe ushafanyia survey ilo jambo ukakuta ni 10% au unabwabwaja tu, mbichwa wako umewaza ukawazua hadi mwisho ukaona serikali na wataalam wake watakuwa hawajaconsider hicho kitu. Haki walimwengu mnashangaza.
 

Ni kitu kinajulikana sasa wakenya, zambia, malawi, burundi, congo wanazamia sana bongo, wapo wakenya plenty of them kanda ya kaskazini hawana hata vibali vya kazi, tena sasa hivi polisi feki wanazuga maafisa usalama ndio wanawatumia kupiga cha juu kutoka kwa waajiri wao, mwajiri anatoa hongo anadhani kamlipa polisi kumbe mhuni tu wamewalia mingo.
 

Breakdown ya bajeti hii hapa...
 
Language means nothing,but knowledge does. Chinese they don't speak English yet you can't compare with their economy. #looser
 
Your so bright #hopefull your not from kenya
 
Umenena vyema
Tatizo wameishi kwa makelele ya makaratasi
Bajeti kubwa watu wananyonya mbwa kama sio upumbavu
 
Huyu jamaa anaifanya bongo kaa N korea na bado unashabikia kijinga.huyu ni dikteta in making haswa ndugu wa Amin.

Mwishowe atajenga kambi ya kijeshi shambani mwake.asisahau kuwajengea wanachato hospitali.
Kua na akili wewe na uzalendo
Umeona Kuna mkenya ata mmoja amekosoa nchi yake kama wewe? We unahisi kwao hakuna madhaifu? Acha ujinga
 
Maneno ya hekima na busara haya.
ungeongeza na the fact that viwanda vilivyo Kenya vingi ni foreign owned, na tangu tuanzishe soko la pamoja kumekuwa na trend ya some of them kuhamia huku.
Ningemshauri Mheshimiwa Rais aendelee kuimprove energy and transport infrastructure taratibu tu kitaeleweka!
 
yaani hata kwa hili swala la bajeti Tz imekua mbwa mwitu??????Macho yenu ya wapi?Mwalimatia na hizo chelewachelewa zenu zitawapa kiwewe.Usije ukabishana na ndovu kunya,manake ukifanya hilo bila shaka utapasuka msamba.
 
yaani hata kwa hili swala la bajeti Tz imekua mbwa mwitu??????Macho yenu ya wapi?Mwalimatia na hizo chelewachelewa zenu zitawapa kiwewe.Usije ukabishana na ndovu kunya,manake ukifanya hilo bila shaka utapasuka msamba.
Kenya imekuwa economical powerhouse katika kanda ya afrika mashariki kwa muda mrefu sana na hii ilichangiwa na kutokuwepo kwa ushindani wa nchi nyinginezo....

Kubali kuwa mambo yamebadilika kutokana na nchi nyinginezo kuamka...
 
Kenya imekuwa economical powerhouse katika kanda ya afrika mashariki kwa muda mrefu sana na hii ilichangiwa na kutokuwepo kwa ushindani wa nchi nyinginezo....

Kubali kuwa mambo yamebadilika kutokana na nchi nyinginezo kuamka...
Nchi zingine zimeamka na bado Kenya ipo macho bado hivyo basi sioni mabadiliko yeyote, Kenya bado inaongoza ukanda huu na mambo hayatabadilika hivi karibuni na yakibadilika labda Kenya iongoze Africa nzima.
 
thats the spirit my brother....hata mimi ningependa TZ pawe pazuri ndio nasi tumiminike humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…