"Tuonane january" hahaha ilikuwa kampeni ya mapema sana kwa mheshimiwa february
Kama una kaa nakufikiri kuna msanii hana njaa basi una hitaji kurudi kujitafakari!Fid njàa kali. ...weusi ndio wababe kwenye game
Harakati mwanzo mwisho
Kwa hiyo kuwa mwana harakati ni kupanda jukwaa la UKAWA?Nimesikitishwa na Fid Q, Mwana FA, Ali Kiba...ni waBongo Fleva ambao atleast huwa nawasikiliza...nimeachana rasmi na Bongo Fleva, sio kwamba hawana muziki mzuri, lakini hawajielewi, baadhi yao hata hawajui wanaimba nini...kama huyu Fid Q. Niliwahi kutana naye Zanzibar nikiwa na rafiki zangu waSouth Africa, nikamtambulisha kama 'Biggest Hip hop Artist' wa Tanzania, kwa maneno yake akasema 'am more than Hip Hop artist, am an activist'...activist gani anapanda jukwaa la CCm?!
Kwa hiyo kuwa mwana harakati ni kupanda jukwaa la UKAWA?
Kama una kaa nakufikiri kuna msanii hana njaa basi una hitaji kurudi kujitafakari!
Hivi Roma,Kala,Ney,Sogy nawengine wameshiba?
Mtu yeyote anaye endelea kufanya sanaa ujue ana njaa ....!
Hivi nyie UKAWA kwanini hampendi kuwa na wapinzani? Mimi huwa nafikiri raha ya mpambano ni kuwa na mpinzani...!
Sijataja jina la 'UKAWA'...you did! Kina Kijo Bisimba, Ananiliea Nkya, et al...ni wanaharakati, wako neutral, hawako kwenye majukwaa ya CCM wala UKAWA!
Sijataja jina la 'UKAWA'...you did! Kina Kijo Bisimba, Ananiliea Nkya, et al...ni wanaharakati, wako neutral, hawako kwenye majukwaa ya CCM wala UKAWA!
Ananilea Nkya sio neutral tena anajulikana ni pure UKAWA
Nyie UKAWA mmebaki kulalamika na kutoa laana! Mnataka kila mtu aamini kwenye UKAWA?Watu wanakumbukwa kwa kile wanachokisimamia...huwezi kuwa kigeugeu alafu uache Legacy. ..ukiwa mwanaharakati unatakiwa ubaki kwenye harakati mpaka kile unachokiamini kitimie. ..Mifano iko mingi Mandela akifikia hatua ya kufungwa jela
Fid q, hata wew! Dah imeniumiza sana, all these days nlikuwa nakuchukulia kuwa wew ndo mwanamziki mleta mageuzi katik nyanja zote achilia mbali kimuziki tu, japo nawe una maamuzi ya kuchagua chama ukipendacho lakin kwa hili mim na wew basi. Acha niugulie maumivu ya nlichokuwa naamin
Teh Teh hao wote ulio wataja wanajulikana kwa matendo yao wako upande gani na uhitaji kuwaona kwenye majukwaa!Sijataja jina la 'UKAWA'...you did! Kina Kijo Bisimba, Ananiliea Nkya, et al...ni wanaharakati, wako neutral, hawako kwenye majukwaa ya CCM wala UKAWA!
Hawa jamaa wanatamani wapinzani wao wafe..wanapenda kulalama sana na kujidai wanatoa laana!Mi nakwambia wengi wanaoishabikia ukawa ni Watu WAKOROFI!
Watu wanakumbukwa kwa kile wanachokisimamia...huwezi kuwa kigeugeu alafu uache Legacy. ..ukiwa mwanaharakati unatakiwa ubaki kwenye harakati mpaka kile unachokiamini kitimie. ..Mifano iko mingi Mandela akifikia hatua ya kufungwa jela
Mtasusa kila mtu aliye tofauti na nyie mnaishi kwa mashaka