Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

"Tuonane january" hahaha ilikuwa kampeni ya mapema sana kwa mheshimiwa february

haha kwa akili yake alijua January atakua mgombea urais dah kweli huyu jamaa hamnazo. Hii movement naikumbuka alikua nayo bize kweli
 
Fid njàa kali. ...weusi ndio wababe kwenye game

Harakati mwanzo mwisho
Kama una kaa nakufikiri kuna msanii hana njaa basi una hitaji kurudi kujitafakari!

Hivi Roma,Kala,Ney,Sogy nawengine wameshiba?
Mtu yeyote anaye endelea kufanya sanaa ujue ana njaa ....!
Hivi nyie UKAWA kwanini hampendi kuwa na wapinzani? Mimi huwa nafikiri raha ya mpambano ni kuwa na mpinzani...!
 
Nimesikitishwa na Fid Q, Mwana FA, Ali Kiba...ni waBongo Fleva ambao atleast huwa nawasikiliza...nimeachana rasmi na Bongo Fleva, sio kwamba hawana muziki mzuri, lakini hawajielewi, baadhi yao hata hawajui wanaimba nini...kama huyu Fid Q. Niliwahi kutana naye Zanzibar nikiwa na rafiki zangu waSouth Africa, nikamtambulisha kama 'Biggest Hip hop Artist' wa Tanzania, kwa maneno yake akasema 'am more than Hip Hop artist, am an activist'...activist gani anapanda jukwaa la CCm?!
Kwa hiyo kuwa mwana harakati ni kupanda jukwaa la UKAWA?
 
Watu wanakumbukwa kwa kile wanachokisimamia...huwezi kuwa kigeugeu alafu uache Legacy. ..ukiwa mwanaharakati unatakiwa ubaki kwenye harakati mpaka kile unachokiamini kitimie. ..Mifano iko mingi Mandela akifikia hatua ya kufungwa jela
 
Fid q, hata wew! Dah imeniumiza sana, all these days nlikuwa nakuchukulia kuwa wew ndo mwanamziki mleta mageuzi katik nyanja zote achilia mbali kimuziki tu, japo nawe una maamuzi ya kuchagua chama ukipendacho lakin kwa hili mim na wew basi. Acha niugulie maumivu ya nlichokuwa naamin
 
Sijataja jina la 'UKAWA'...you did! Kina Kijo Bisimba, Ananiliea Nkya, et al...ni wanaharakati, wako neutral, hawako kwenye majukwaa ya CCM wala UKAWA!
 
Kama una kaa nakufikiri kuna msanii hana njaa basi una hitaji kurudi kujitafakari!

Hivi Roma,Kala,Ney,Sogy nawengine wameshiba?
Mtu yeyote anaye endelea kufanya sanaa ujue ana njaa ....!
Hivi nyie UKAWA kwanini hampendi kuwa na wapinzani? Mimi huwa nafikiri raha ya mpambano ni kuwa na mpinzani...!

Mi nakwambia wengi wanaoishabikia ukawa ni Watu WAKOROFI!
 
Sijataja jina la 'UKAWA'...you did! Kina Kijo Bisimba, Ananiliea Nkya, et al...ni wanaharakati, wako neutral, hawako kwenye majukwaa ya CCM wala UKAWA!

umebadili kibao mara hii!?watu inatakiwa mjifunze maana ya democracy na sio siasa za chuki.Hakuna mahali walipoandika eti unachokipenda wewe basi na wengine wakipende!au unachokiamini wewe basi mnataka wooote wakiamini
 
Sijataja jina la 'UKAWA'...you did! Kina Kijo Bisimba, Ananiliea Nkya, et al...ni wanaharakati, wako neutral, hawako kwenye majukwaa ya CCM wala UKAWA!

Ananilea Nkya sio neutral tena anajulikana ni pure UKAWA
 
Amesimama kwenye jukwaa lipi la UKAWA?! Unaweza mfananisha na Polepole unaposema 'pure'? Maana Polepole ni pure CCM na hafichi.
 
Heshimu maamuzi ya mtu hata kama kimismamo mko tofauti nani asiyejua kuwa lissu mnyika msigwa walikuwa na misimamo mikali kwa lowassa kuwa ni fisadi lkn Leo wanakaa meza moja???? hata hivyo fid hajawahi onesha kuwa yy yuko wapi mwacheni afanye yake.
 
Kwa alie sema joh makini anaweza panda jukwani kushabikia ccm ili sahau kabisa na huwezi mfananisha joh na fid hata sikumoja joh makini ni level za mbali mno na hapendi cheap politics Kama wasanii wengine na aliahidi hataki kuwachanganya mashabiki wake
 
Watavuna walipopanda.

Baada ya kampeni ndio waanze kujitathimini.
 
Watu wanakumbukwa kwa kile wanachokisimamia...huwezi kuwa kigeugeu alafu uache Legacy. ..ukiwa mwanaharakati unatakiwa ubaki kwenye harakati mpaka kile unachokiamini kitimie. ..Mifano iko mingi Mandela akifikia hatua ya kufungwa jela
Nyie UKAWA mmebaki kulalamika na kutoa laana! Mnataka kila mtu aamini kwenye UKAWA?
Fid q, hata wew! Dah imeniumiza sana, all these days nlikuwa nakuchukulia kuwa wew ndo mwanamziki mleta mageuzi katik nyanja zote achilia mbali kimuziki tu, japo nawe una maamuzi ya kuchagua chama ukipendacho lakin kwa hili mim na wew basi. Acha niugulie maumivu ya nlichokuwa naamin
 
Sijataja jina la 'UKAWA'...you did! Kina Kijo Bisimba, Ananiliea Nkya, et al...ni wanaharakati, wako neutral, hawako kwenye majukwaa ya CCM wala UKAWA!
Teh Teh hao wote ulio wataja wanajulikana kwa matendo yao wako upande gani na uhitaji kuwaona kwenye majukwaa!
 
Watu wanakumbukwa kwa kile wanachokisimamia...huwezi kuwa kigeugeu alafu uache Legacy. ..ukiwa mwanaharakati unatakiwa ubaki kwenye harakati mpaka kile unachokiamini kitimie. ..Mifano iko mingi Mandela akifikia hatua ya kufungwa jela

na amekwambia anataka kuacha legacy??c'mon people hatuwez kua maono mamoja na imani moja wote bana
 
Mtasusa kila mtu aliye tofauti na nyie mnaishi kwa mashaka

Mimi naona watafute kisiwa wahamie kule maana hakuna namna kila anayekua tofauti nawao mbaya tu.
 
Back
Top Bottom