acheni undezi huo.... Fid q kama alikuwa ananyimbo na utunzi mkali utabaki hvyohvyo, ndio maana hamjiulizi licha ya nyingi kuwapinga hawa wasanii mmesikia wamepungukiwa nin? zaidi ya wrong speculations!!
NATAKA MSIMAMIE MANENO YENU
Kama kweli mnaona nyi ndio kila kitu kuwaamulia cha kufanya wasanii, na kuwashusha wakienda agaist matakwa yenu, basi muwapandishe hao wakina niki mbishi, ney, roma, n.k wafanikiwe hta kufahamika nchi jirani za EA vilivyo!!!!! Afu muwapeleke Afrika, ndio muanze kuongea habari za kumshusha mtu, HATA LOWASSA ASHAKWAMBIA HIWEZI KUZUIA MAFURIKO KWA MIKONO!!!!!!!!!!!!!!!!!!