Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

fid q ni bogus sana,,miaka yote anaimba hana hata kiwanja,,amepanga chumba na sebule,,

Mpaka awe ukawa ndo anakuwa mtakatifu ndo maana tunasema chdoma kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha waadilifu siunaona mlivyokuwa wanafiki. Leo angeimbia lowasa mngesema jamaa kafunika noma sana lakini sasa..!!!. Kama umemchukia basi mwache. Mbona wewe unampenda alikuwa m....z ccm hakuna anayekushutumu. Sasa yeye kumfanyia campeni Dr. Unataka kupasuka vp vijana wa ukawa mbona hatuwaelewi hizi siasa tu mwisho wasiku maisha yetu kama watanzania lazima yaendelee.
 
Uwezi ukawa na akili timamu ukawa ukawa.. Angalia watu walio ukawa ni watu wenye stress na wako confused na maisha... Otherwise uwe mkaskazini ndio utaielewa ukawa.


Chama gani mgombea mwizi makamu mwendawazimu ... Wafuasi ni kama nyumbu wanafata lolote atakalosema mangi meza Mbowe kinyume cha hapo utaitwa msaliti au umenunuliwa na hapo hawajashika nchi.

Ukawa imegeuka ukiwa.
 
Ukishaona mtto wa kiume Wa kitanzania kasuka ujue kichwani amna kitu uoo u legend katoa wapi wasanii wa Tanzania elimu zao ndogo ua niwalalamishi sana lakini wamejaa masiala na mizaha mwishowao mbaya utakuwa ukiwauliza ata ioo ilani ya ccm awajui inasema nini wanazani watakuwa katika kampeni siku zote tarehe 24 ni mwisho afu watarudi redioni tuone
 
Sasa kuhusisha itikadi za mtu kisiasa na uwezo wake kimuziki ni ulimbukeni.. hata atakapooa usipomkubali mkewe kwa sababu zako binafsi utarudi hapa kusema amezidiwa kimuziki na nikki wa 2..
jaribu kuwa na uwezo wa kufikiri kwa umakini
 
maskini fid kazidiwa hata na Jack Wolper? hizi njaa sasa inatoshaa khaa
 
Wafuasi wa Ukawa ni vituko show.. yaani wanataka kila mtu awe zezeta kama wao. Diamond mlianza kusema eti kajimaliza atununui kazi zake kama hawa mnanunuaga vile!!?

Kama fid q unaamini ni mtu makini heshimu mawazo yake..
#Toroka uje
 
acheni undezi huo.... Fid q kama alikuwa ananyimbo na utunzi mkali utabaki hvyohvyo, ndio maana hamjiulizi licha ya nyingi kuwapinga hawa wasanii mmesikia wamepungukiwa nin? zaidi ya wrong speculations!!

NATAKA MSIMAMIE MANENO YENU
Kama kweli mnaona nyi ndio kila kitu kuwaamulia cha kufanya wasanii, na kuwashusha wakienda agaist matakwa yenu, basi muwapandishe hao wakina niki mbishi, ney, roma, n.k wafanikiwe hta kufahamika nchi jirani za EA vilivyo!!!!! Afu muwapeleke Afrika, ndio muanze kuongea habari za kumshusha mtu, HATA LOWASSA ASHAKWAMBIA HIWEZI KUZUIA MAFURIKO KWA MIKONO!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi huwa nashangazwa na watu dizain ya mleta mada! Kwan tumeumbwa kupenda kitu kimoja? Hiv kwa mfano we unatumia mtandao wa voda, ukamwona joti anausifu mtandao wa tigo. Kwa sababu we ni shabiki wa joti bas utataka na yeye atumie mtandao unaotumia wewe? Ye yupo pale kikazi zaidi. Unataka fid akiwa katika kampen za ccm aichafue ccm wakati kashapewa mtonyo! Labda nikwambie kitu, kura ni siri ya mtu. Huyo fid anaweza akapiga kelele kuinadi lakin mwisho wa siku akaichinja kwenye sanduku la kura. Unamkataza msanii asipige kampen wakati kaz zake hununui, humpigii kura kwenye tuzo zozote.unataka akale wapi! Mjue kujiongeza.
 
Fid q wa kanda ya ziwa anamuacha wolper kwa wachaga wenzie

ungejua Huko kanda ya ziwa wanavomkubalo lowassa hata usingemjibia huyu "Fid Lumumba". Btw wanahip hop halisi wenye msimamo waliobakia ni ROMA ,solothang na nay wa mitego pekee
 
Hakika wafuasi wa UKAWA ni vituko...
 
Sio vituko tu akili yao hawaishughulishi namanisha wamekalilishwa.
 
Ukishaona mtto wa kiume Wa kitanzania kasuka ujue kichwani amna kitu uoo u legend katoa wapi wasanii wa Tanzania elimu zao ndogo ua niwalalamishi sana lakini wamejaa masiala na mizaha mwishowao mbaya utakuwa ukiwauliza ata ioo ilani ya ccm awajui inasema nini wanazani watakuwa katika kampeni siku zote tarehe 24 ni mwisho afu watarudi redioni tuone

Wasanii hawana elimu ndogo kushinda ya Mbowe... Ujui mwenyekiti wako wa chama anazidiwa elimu ata na Kifesi?
 
mkuu uko vizuri, hata mimi niliandika wiki mbili zilizopita kuhusu huyu jamaa kupiga push ups jukwaani, siasa nyepesi

Huenda nyie ndio mmemsababishia matatizo huyu baba anajidhalilisha kiasi hiki,. A meona huko mlikoandika amecopy kama alivyocopy m4c.
 
Back
Top Bottom