Hadi hapa Simba hawadaiwi

kwa ligi hatuna shida nako sana sasa macho yote kimataifa

ndani ya ligi hatuna wakujipima nae kabisa nafikiri mechi zinazofuata wapinzani wa onywe kutochezea wachezaji wetu vibaya kwani tuna majukumu kimataifa,pia yanga tulisha waonya sana si sio watani wao tena ila nafikiri mnajua tabia za vyura.

yanga jifunzeni kucheza kisasa hiki ndicho simba tunagombana na nyie tengenezeni wachezaji wa kisasa

kibu alivyofunga mliona alipotaka kushangilia sana kishamba akazuiwa sijui kama yanga mliona na kujifunza kitu apo
 
Kwa matokeo ya leo 2-0 dhidi ya Yanga, hakuna shaka tena kuwa hawadaiwi na mashaabiki wao, iwe wakipoteza dhidi ya Wydad na hata wasipochukuwa kombe la NBC au la Azam Confederation.
Kazi wameimaliza leo. Tukutane msimu ujao.
Kwenye FA watajileta tena wasitegemee bahati kuwadondokea mara ya pili tunawasubilia kwa hamu kubwa, wameshinda leo na maneno yamekuwa mengi but watajaa kwa mara nyingine ndio tutajua wameshindaje leo
 
😗pole sanaaaa mkuu vumilia najua unacho kipitia😅😅😅ila kibu d nimbayaaaaa
 
Kwa akili kama hizi mpira hauwezi kuendelea, kwa Hio kumfunga mtani ndo apex ya mafanikio ya simba/Yanga??
 
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.
 
Uto mnamaumivu sana.
 
Kwenye FA watajileta tena wasitegemee bahati kuwadondokea mara ya pili tunawasubilia kwa hamu kubwa, wameshinda leo na maneno yamekuwa mengi but watajaa kwa mara nyingine ndio tutajua wameshindaje leo
[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…