Hadi hapa Simba hawadaiwi

Hadi hapa Simba hawadaiwi

Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan lazima ufurahi na akati Una huzuni? Relaaaaaaaxxxxxx.

Poleeeeeee wee. Uwiiiiii
 
Leo naona Wachambuzi Uchwala wanao chambua habari za michezo ili kumfurahisha ili wakamkope Mwenyekiti wa Yanga wametulia.

Na Manara Wametulia
 
Uhuni wa kuikamia simba na kuihujumu ktk mechi za awali ndo kumefanya gape la points kuwa hivi.Hat hivo simba bado bi bora sana sana
 
Hamna kocha hapo. Robertinho angepewa wachezaji wa yanga, yanga ingechukua kombe la caf cl
Hivi nyie mna akilo sawasawa kweli? Yan kuifunga tu Yanga ndio maneno yanawatoka hivi? Furaha inawalevya sio bure
 
Mkiifunga Yanga ndio kombe lenu hongereni kwa kuchukua kombe, ya waarabu mtamalizana nao wenyewe maana mmezidi kwa shangwe.
Kwa hapa sina cha kuwadai simba huwezi chukua kombe kila mwaka mm wamenifurahisha kumpiga Yanga kwangu nimeridhika saana nilitaka kushangaa kwa Simba hii haifungwi na timu mbovu kama Yanga yaan sisi tupo champion nyinyi mpo kombe la loser halafu mtufunge kuweni na akili basi ukiona Simba tumefungwa ujue mamelod al ahyl raja lkn sio yanga hamna timu jana kabla ya mechi nilikaa na mashabiki wa yanga eti wanapiga hesabu za kuchukua kombe la loser yaan kwa mpira ule hata kwa river hutoki na mnabahati waganga wenu wamepunguza magoli mlikuwa mnakufa 5
 
kwa ligi hatuna shida nako sana sasa macho yote kimataifa

ndani ya ligi hatuna wakujipima nae kabisa nafikiri mechi zinazofuata wapinzani wa onywe kutochezea wachezaji wetu vibaya kwani tuna majukumu kimataifa,pia yanga tulisha waonya sana si sio watani wao tena ila nafikiri mnajua tabia za vyura.

yanga jifunzeni kucheza kisasa hiki ndicho simba tunagombana na nyie tengenezeni wachezaji wa kisasa

kibu alivyofunga mliona alipotaka kushangilia sana kishamba akazuiwa sijui kama yanga mliona na kujifunza kitu apo
Jumamosi sio mbali
 
Kombeee mtapokea ila kwa hudhuni....
2 kwa 0
 
Kwa matokeo ya leo 2-0 dhidi ya Yanga, hakuna shaka tena kuwa hawadaiwi na mashaabiki wao, iwe wakipoteza dhidi ya Wydad na hata wasipochukuwa kombe la NBC au la Azam Confederation.
Kazi wameimaliza leo. Tukutane msimu ujao.
Bado tuna mechi moja nae msimu na asitake kutukimbia. Fainali ya kombe la FA Azam CC.

Lazima tumpalange tena.
 
Back
Top Bottom