zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
ulikuwa mshamba, hukuwa smart jifunze kwa vijana kama Robert Heriel Mtibeli.. pia, tumesikia upande mmoja so hatuwezi kutoa hukumu timilifu.Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.
Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
mavijana mafala kama wewe huwa hayatakiwi kuonewa huruma.. hivi ulikuwa hujui kuwa kwa usalama wako ni wmiko kwenda kwa demu?? unajua kuwa yeye anatakiwa akufuate wewe?? kijana fala kabisa wewe, yaani umefuata KWAKE na unaanza kumpiga??? wewe hata wangekulawiti huki selo nadhani ulistahili.. mshamba kabisaMkuu nisha leta kisa kama hiki hapa, ilikua hivi demu alinikera nikamfata getoo kwao tukajibizana nikamshushia makofi, akapiga kelele wee hiyo kesi mama yake ndio alini kaushia tu ilikua nzito nilitaka kupewa kesi ya ubakaji mkuu acha tu nilimzingia demu baaday a hapo nika mwambia ulikua unataka kunifunga heeee, akaniomba msamaha mkuu si kitoto
exactlyMfungulie mashtaka huyo demu,hata usiposhinda utamkomesha kisaikolojia na kitendo cha kuitwa police na mahakamani kwenye kesi anaweza kujichanganya akasema kila kitu,usimwachie kama unaamini was a set up utasaidia wengi na kukomesha hawa wahuni
huyu nina mashaka, kuna vingi ameruka hajasema. amini tu ameacha vingi... na hivi hatujasikia upande wa pili ndiyo kabisa, anatia shakaNikupeleke chimbo wanakodisha bastola?
Kisasi ni haki kulipa Tena kwa wivu mkubwa
inaonekana hivyo. kijana mshamba sanaDuh, yawezekana ukionekana wa kuja tu
inaonekana amevicha ficha vingi sanaPolle ila nimashaka na wew 🤣🤣🤣🤣
huyu anaonekana vingi ameficha kuviweka wazi... it's not possible at all kwa mazingira yake. na nyie hamuwapagi code vijana kuwa hata iwe jua au mvua, ni marufuku kwenda anapoishi binti?Demu wako + amekuja kwako afu kesi iwe ya kubaka?
Labda umeshindwa kujitetea
Uolewe kama hutaki kuoaDemu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.
Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
We mzeee wewe una mambo ya kizamani sana sa mambo ya kulawitiwa yameingiaje hapamavijana mafala kama wewe huwa hayatakiwi kuonewa huruma.. hivi ulikuwa hujui kuwa kwa usalama wako ni wmiko kwenda kwa demu?? unajua kuwa yeye anatakiwa akufuate wewe?? kijana fala kabisa wewe, yaani umefuata KWAKE na unaanza kumpiga??? wewe hata wangekulawiti huki selo nadhani ulistahili.. mshamba kabisa
hata usiache... endelea kwenda kwenye mageto ya mabinti sawa eeh? usiache we endelea.We mzeee wewe una mambo ya kizamani sana sa mambo ya kulawitiwa yameingiaje hapa
Ngoja nicheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We mzeee wewe una mambo ya kizamani sana sa mambo ya kulawitiwa yameingiaje hapa