The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na kuanza tena kupewa "training" ili aweze Ku fit in...
Hizi trainings vijana wapewe kabla hawajamaliza kidato cha nne...
1.Ushonaji..au utengenezaji nguo..,Viatu,mabegi n.k...
2.Utengenezaji furniture...
3. ujenzi hatua ya Veta Ile..
4 ufundi wa electronics Veta stage
5. Matumizi ya computer na smart phone.....inasikitisha Sana kuona kuna watanzania bado wanalipa hela kuelekezwa namna ya Ku download watsap n.k. dunia ya sasa....
6. Sheria basics za ardhi...hii itaepeusha Sana migogoro ya ardhi na ujenzi holela mitaani..
7. sheria ya jinai ..basics ..itaepeusha Sana rushwa mahakamani na polisi...
8. usalama barabara... asilimia zaidi ya 50 ya wanaomaliza wanaenda kuwa bodaboda na karibu wengine wote watahusika na vyombo vya moto baadae ..Wengi watanunua Tu leseni..Bora sheria hizi za usalama barabarani zisomwe mashuleni.....
9. ujasiriamali na customer care..
Asilimia kubwa ya wajasiriamali Tz hawajui kabisa customer care..dunia ni kijiji...wanaohudumiwa sio Tu watanzania hata wageni wanaokuja nchini....
10. Serikali na mifumi yake inavyofanya kazi...Leo ukimuuliza Mtanzania kazi ya manispaa au kazi ya diwani ni nini Wengi hawajui...au hata kazi ya mbunge ni nini ...imekuwa kawaida Kwa watanzania kuomba hata hela wabunge wao....na hatujiulizi shida iko wapi...
11. Bima ya afya...unakuta mtu msomi kabisa anakwambia ntalipaje bima nisipoumwa je....
12. Kodi,tozo ,ushuru...kazi yake faida yake na hasara yake mwananchi asipolipa Kodi .
13. Digital marketing...na online scams...
Mengine mtajazia...